Pre GE2025 TUNDU LISSU: Ni kweli CHADEMA kimepoteza mvuto hasa kwa vijana na walalahoi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mgombea makini wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa Mhe.Tundu Lissu amekiri hadharani kuwa CHADEMA chini ya Mbowe haina uwezo tena wa kuvitia hata Mwanachama kichaa.

Soma alichosema huko Clubhouse X

"Tazameni chama chetu kinavyozidi kupoteza ile ARI na MORALI ya umma kutuunga mkono kama chama kikuu cha upinzani. Tazameni hata ile nguvu yetu ya vijana iliyokuwa inapelekea chama chetu kiitwe chama cha vijana leo hakuna tena nguvu ya vijana ambao ndio nguvu tegemeo ya chama hasa chama kama CHADEMA kinacholenga kukiondoa chama dola madarakani".

Leo hii vijana wanaona bora wakacheze pool table na ku-bet mitaani kuliko kukipigania chama chao. Ni kwa nini tumefika kwenye hali hii? Hili ndilo swali la msingi sana ambalo wanachama wenzetu wanaokuja kwenye mkutano mkuu wanapaswa kujiuliza na watafakari hali ya hiki chama chetu itakuwaje miaka mitano mingine ijayo kama hatutabadili mifumo ya uongozi wa chama kupitia uchaguzi huu wa januari"

View attachment 3184871
Konyagi Konyagi Konyagi oyeeeeee
 
Mzame Wote akina nani? 😂😂
"Wnye SCOPE", kaandika mwenyewe hapo, sijui kama anajuwa maana ya neno hilo 'SCOPE'! Lakini inatosha kukoga watu aonekane ni mtu anayejuwa anacho kizungumzia.

Inashangaza, hadi hatua hii, bado kuna watu wanafikiri Tundu Lissu "anatoboa chombo"?
 
Sababu ni CCM imekuwa Imara hakuna kingine
Ccm imekuwa imara, au vyombo vya dola ndio vimechukua nafasi ya ccm kufanya siasa? Yaani wanaume wakiongea usithubutu kuitaja ccm maana utachekwa.
 
Mgombea makini wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa Mhe.Tundu Lissu amekiri hadharani kuwa CHADEMA chini ya Mbowe haina uwezo tena wa kuvitia hata Mwanachama kichaa.

Soma alichosema huko Clubhouse X

"Tazameni chama chetu kinavyozidi kupoteza ile ARI na MORALI ya umma kutuunga mkono kama chama kikuu cha upinzani. Tazameni hata ile nguvu yetu ya vijana iliyokuwa inapelekea chama chetu kiitwe chama cha vijana leo hakuna tena nguvu ya vijana ambao ndio nguvu tegemeo ya chama hasa chama kama CHADEMA kinacholenga kukiondoa chama dola madarakani".

Leo hii vijana wanaona bora wakacheze pool table na ku-bet mitaani kuliko kukipigania chama chao. Ni kwa nini tumefika kwenye hali hii? Hili ndilo swali la msingi sana ambalo wanachama wenzetu wanaokuja kwenye mkutano mkuu wanapaswa kujiuliza na watafakari hali ya hiki chama chetu itakuwaje miaka mitano mingine ijayo kama hatutabadili mifumo ya uongozi wa chama kupitia uchaguzi huu wa januari"

View attachment 3184871
Jama hana pa kujificha
 
Kama Lissu alizunguka na akashindwa kukipa mvuto chama leo anasemaje mwenyekiti ndiye tatizo. Sio kila mwanachadema yupo hapo kwa sababu ya Mbowe, wenje, sugu , mnyika ama Lissu.

Walikuwepo akina Slaa wakaondoka chedema ilibakia na watu. Leo hata mzee wa ubwabwa awe chair hapo cdm bado atakuwa na watu.

Watambue kuwa hata CCM inajiboeresha kila siku ilikubakia madarakani na kuaminika na wananchi. Ndiyo maana wenyeviti na amakatibu wanabadilika ila wanachama wapo tu.

Asiaminishe watu kuwa Lissu ndiye atawavutia wanachama.
 
Hata CUF walikuwa wanasema kama wewe
 
Hata CUF walikuwa wanasema kama wewe
Cuf sio kama chadema, wala haijawahi kuwa na ushawishi kama chadema. Nimekuwekea mifano hapo sisiemu kila uchwa wenyevit na makatibu wanakuja wapya bado inavuna wanachama. Hata kwa chadema pia awepo lissu ama mbowe kwa levo waliyofikia hawezi kukosa watu.
 
Kwa kweli vyama vya upinzani vimetuweka kwenye hali mbaya Watanzania hatujui tufanyeje maana CCM tumeichoka lakini hatuoni chama mbadala!
Nyie mlikubalije vyama vya siasa vikaendeshwa na vilaza muda wote huo?embu fikiria eti Mzee Mbowe,Lema ,Sugu na Wenje ndio wanaoshilkilia usukuni ,hivi kwa kuanzia hapa tu huoni ni Tatizo tayari?
 
Kama viongozi wa upinzani ndio hawa wa aina ya Tundu Lissu CCM itatwala mpaka mwisho wa dunia. Mtu makini hawezi kuwa na imani kwa vyama vinavyoongozwa na watu aina ya Lissu.
Vipi kuhusu Mbowe ?kafikisha wapi chama?
 
Back
Top Bottom