babao nasisitiza,π π€£ π wakati mnapanga Yenu na Mungu alikuwa anapanga yake
The end jusfies the means
ndio umegundua leo hiyo, kwamba nawe unajipanga kwenda kwenye harusi kumbe na Mungu kakupangia send-off, unagongwa na baiskeli, unapoa pale pale, tunazika na tunasahau ππ π€£ π wakati mnapanga Yenu na Mungu alikuwa anapanga yake
The end jusfies the means
akili za kishirikina bana dah π€£Lisu anaishi alieiba kura na aliejaribu kumuua lisu yupo wapi??
Unmekarir dogo, vibaraka wako ccm wameuza dhahabu,gesi,bandarina kwamba yeye ni malaika na sio kibaraka wa mabwwnyenye wa ng'ambo, right π
Yes,Unmekarir dogo, vibaraka wako ccm wameuza dhahabu,gesi,bandari
Au una definition yako ya ukibaraka
,πππHata Chadema huwa hawasusi wote
We mzalendo wa ccm na manguo yako ya kijaniYes,
ni puppet na wew ni mercenary π
unaelewa hii siasa ya Tz ni nyepesi halafu inafurahisha sana . ni zigzag kabisaa π€£We mzalendo wa ccm na manguo yako ya kijani
Ulishawahi muuliza waziri wako fedha mapato ya migodi ya hahabu
Sawa mkuuunaelewa hii siasa ya Tz ni nyepesi halafu inafurahisha sana . ni zigzag kabisaa π€£
nafahamu mna mambo mengi sana moyoni ndugu wanainchi.
niwahakikishie, hali hiyo tutamaliza na kubadilisha kabisaa, baada ya uchaguzi mkuu 2025. Twendeni pamoja na huyu mama ambae sote tunampenda sana comrade Dr.Samia Suluhu Hassan wa CCM π
hakuna kitu kama hicho cha kufanya manuva, sijui ya nani. Ile manuva muhimu zaidi ni ya Mungu pekee....Sawa mkuu
hatuwezi pata mtu mwingi Bora zaidi ya huyu
Akijitokeza mwingine Bora zaidi ya huyu tutafanyaje?
Au tufanya mipango na maneuvers za hapa na pate NEC mtu Wetu ashinde
Endeeleeni kupanga yenu ovu Mungu anapanga yakeakili za kishirikina bana dah π€£
kwamba mwanadamu ana muhoji mwanadamu mwenzie, kuhusu uhai na kifo ambayo ni zawadi kutoka kwa Mungu π
kama Mungu ni wako pekeyako endelea na imani yako potofu, ushirikina na uchawi wako, then utafurahi 2025πEndeeleeni kupanga yenu ovu Mungu anapanga yake
Mungu ni wa wote ila nyie masisemu endeeleni kuingilia kazi na mipango ya Mungu kama mwenzenu aliefekelewa mbali alikuwa anapoteza watukama Mungu ni wako pekeyako endelea na imani yako potofu, ushirikina na uchawi wako, then utafurahi 2025π
wew unajuaje mipango ya Mungu kama sio mshirikna kamanda πMungu ni wa wote ila nyie masisemu endeeleni kuingilia kazi na mipango ya Mungu kama mwenzenu aliefekelewa mbali alikuwa anapoteza watu
Nabii Lema aliwapa maono mkawa mnamtishia maisha na kumfunga jelababao nasisitiza,
kiimani, huwezi kumwambia Mungu cha kufanya kwa wabadamu alieumba mwenyewe, kwa sura na mfano wake
kila mwanadamu amepewa utashi na uwezo wa kupanga, lakini mweye kufanikisha unachopanga ni yeye, amabe pia ndie muamuzi wa mwisho.....
sasa uko hapo,
ati unanbabaika na kazi ya Mungu kwa wabadamu.
haiwezekani, unless huna utashi wa kijua na kufaham hilo
nabii mnyang'anyi sioNabii Lema aliwapa maono mkawa mnamtishia maisha na kumfunga jela
Alikunyang'anya nini mkuunabii mnyang'anyi sio
LoriπAlikunyang'anya nini mkuu