Pre GE2025 Tundu Lissu: Ni kweli tulikataa kuchanganywa na vyama vingine vya Upinzani kwenye Maridhiano kwa sababu Wale ni Vibaraka wa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
😄 🤣 😂 wakati mnapanga Yenu na Mungu alikuwa anapanga yake
The end jusfies the means
babao nasisitiza,
kiimani, huwezi kumwambia Mungu cha kufanya kwa wabadamu alieumba mwenyewe, kwa sura na mfano wake :DisGonBGud:

kila mwanadamu amepewa utashi na uwezo wa kupanga, lakini mweye kufanikisha unachopanga ni yeye, amabe pia ndie muamuzi wa mwisho.....

sasa uko hapo,
ati unanbabaika na kazi ya Mungu kwa wabadamu.:pedroP:

haiwezekani, unless huna utashi wa kijua na kufaham hilo
 
ndio umegundua leo hiyo, kwamba nawe unajipanga kwenda kwenye harusi kumbe na Mungu kakupangia send-off, unagongwa na baiskeli, unapoa pale pale, tunazika na tunasahau 🐒

waza kibinadamu gentleman 🐒
 
Lisu anaishi alieiba kura na aliejaribu kumuua lisu yupo wapi??
akili za kishirikina bana dah 🤣

kwamba mwanadamu ana muhoji mwanadamu mwenzie, kuhusu uhai na kifo ambayo ni zawadi kutoka kwa Mungu 🐒
 
  • Thanks
Reactions: Tui
We mzalendo wa ccm na manguo yako ya kijani

Ulishawahi muuliza waziri wako fedha mapato ya migodi ya hahabu
unaelewa hii siasa ya Tz ni nyepesi halafu inafurahisha sana . ni zigzag kabisaa 🤣

nafahamu mna mambo mengi sana moyoni ndugu wanainchi.
niwahakikishie, hali hiyo tutamaliza na kubadilisha kabisaa, baada ya uchaguzi mkuu 2025. Twendeni pamoja na huyu mama ambae sote tunampenda sana comrade Dr.Samia Suluhu Hassan wa CCM 🐒
 
Sawa mkuu
hatuwezi pata mtu mwingi Bora zaidi ya huyu
Akijitokeza mwingine Bora zaidi ya huyu tutafanyaje?

Au tufanya mipango na maneuvers za hapa na pate NEC mtu Wetu ashinde
 
hakuna kitu kama hicho cha kufanya manuva, sijui ya nani. Ile manuva muhimu zaidi ni ya Mungu pekee....

sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, ni Lazima iskizwe na izingatiwe ipasavyo 🐒
 
akili za kishirikina bana dah 🤣

kwamba mwanadamu ana muhoji mwanadamu mwenzie, kuhusu uhai na kifo ambayo ni zawadi kutoka kwa Mungu 🐒
Endeeleeni kupanga yenu ovu Mungu anapanga yake
 
kama Mungu ni wako pekeyako endelea na imani yako potofu, ushirikina na uchawi wako, then utafurahi 2025🐒
Mungu ni wa wote ila nyie masisemu endeeleni kuingilia kazi na mipango ya Mungu kama mwenzenu aliefekelewa mbali alikuwa anapoteza watu
 
wew unajuaje mipango ya Mungu kama sio mshirikna kamanda 🐒

Mungu hapangiwi cha kufanya na mwanadamu,acha kukufuru 🐒
 
babao nasisitiza,
kiimani, huwezi kumwambia Mungu cha kufanya kwa wabadamu alieumba mwenyewe, kwa sura na mfano wake :DisGonBGud:

kila mwanadamu amepewa utashi na uwezo wa kupanga, lakini mweye kufanikisha unachopanga ni yeye, amabe pia ndie muamuzi wa mwisho.....

sasa uko hapo,
ati unanbabaika na kazi ya Mungu kwa wabadamu.:pedroP:

haiwezekani, unless huna utashi wa kijua na kufaham hilo
Nabii Lema aliwapa maono mkawa mnamtishia maisha na kumfunga jela
 
Back
Top Bottom