Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
babao nasisitiza,😄 🤣 😂 wakati mnapanga Yenu na Mungu alikuwa anapanga yake
The end jusfies the means
kiimani, huwezi kumwambia Mungu cha kufanya kwa wabadamu alieumba mwenyewe, kwa sura na mfano wake

kila mwanadamu amepewa utashi na uwezo wa kupanga, lakini mweye kufanikisha unachopanga ni yeye, amabe pia ndie muamuzi wa mwisho.....
sasa uko hapo,
ati unanbabaika na kazi ya Mungu kwa wabadamu.

haiwezekani, unless huna utashi wa kijua na kufaham hilo