Tundu Lissu ni Magufuli aliyechangamka

JPM alimjua na alimnyoosha
Tundu bhana hahaha akabaki analilia makinikia haha
Mungu akamnyoosha mwendazake sasa hivi yupo jehanam πŸ”₯ πŸ“› akiwa katibu muhtasi wa Lucifer
 
😁😁😁aiseeee!
 
Nimesema sana na sitachoka kurudia tena na tena. Tafadhali sana Mwamba Magufuli asilinganishwe na vitu vya kishenzi na vya kipumbavu!! Tafadhali sana!!
umeisema kwa uchungu mkali sana. na mim nitoe langu. kwa mwandish jins alivomalizia lisu hawez kuwa magu labda labda .wapo akiba ya vijana ndan ya ccm ambao wakipewa rungu magu huyu hapa.mfano Polepole, makonda na majaliwa.hivyo vyuma ni bas tu ila ni namba ngumu sana hizo
 
Kazi Na Utu,Tunasonga Ugali Wacha Itengenezwe Mboga Yoyote Ya Majani Lakini Tulipendekeza Jani Korofi,,Tunakuja Na Rosti Ya Kitimoto Kupooza Mwili Na Kuleta Umateumate Kwenye Ndimi Za Walaji Haswa...​
 
Nimesema sana na sitachoka kurudia tena na tena. Tafadhali sana Mwamba Magufuli asilinganishwe na vitu vya kishenzi na vya kipumbavu!! Tafadhali sana!!
Dogo endelea kusoma, huu mjadala hauhitaji watoto wa shule
 
Yeye ni jizi namba moja. Mwanasheria aliyeungana na wageni kutengeneza mikataba ya kuliibia taifa madini

Ni mnafiki tuu na
Hana uzalendo hata 0.00001%
mama D hapa umechemka mama
 
Yeye ni jizi namba moja. Mwanasheria aliyeungana na wageni kutengeneza mikataba ya kuliibia taifa madini

Ni mnafiki tuu na
Hana uzalendo hata 0.00001%
Kumbe kuna Muda Mapepo yanaweza kumvamia Mchungaji.
 
Mungu akamnyoosha mwendazake sasa hivi yupo jehanam πŸ”₯ πŸ“› akiwa katibu muhtasi wa Lucifer

Mungu hanyooshi watu unavyodhania
Kifo ni ahadi hata wewe utakufa
 
Lissu hana uzalendo wowote mfano ! Familia yake inaishi belgeium huo ni uzalendo kweli
 
pole kwa kutype ujinga
 
Mungu hanyooshi watu unavyodhania
Kifo ni ahadi hata wewe utakufa
Mungu fundi alietaka atawale miaka 30 akatawala miaka 5 leo Iisu anaishi muuaji mwendazake katangulia kufa. Kutoa uhai wa mtu muachieni Mungu shenzi taypu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…