johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mzee alijua Dunia tunapita Kila mtu Aishi atakavyo na tule kilichopo wotee..hakutaka kashikashii za damu za watuuNakubaliana na Lisu kuhusu Mzee Mwinyi
ni kwasabb wakati huo wapinzani hawakua na kiburi na ukaidi wa kutiii sheria bila shuruti kama yeye na wapinzani wenzie πMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lisu amesema Chanzo Cha Marais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kutumia Mapolisi kumtangaza Wapinzani wao alikuwa ni Mwalimu Nyerere.
Lisu anasema ni Rais Mwinyi pekee ambaye hakuwanyanyasa Wapinzani au Wananchi kwa kutumia Mapolisi
Source: Star tv
My take; Nakubaliana na Lisu kuhusu Mzee Mwinyi
Mlale Unono ππ
Tundu kama anapagawa vile hivi kulikuwa na chaguzi za vyama vingi enzi za mwinyi?Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lisu amesema Chanzo Cha Marais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kutumia Mapolisi kumtangaza Wapinzani wao alikuwa ni Mwalimu Nyerere.
Lisu anasema ni Rais Mwinyi pekee ambaye hakuwanyanyasa Wapinzani au Wananchi kwa kutumia Mapolisi
Source: Star tv
My take; Nakubaliana na Lisu kuhusu Mzee Mwinyi
Mlale Unono ππ
Sijui umeongea nini?!amesema Chanzo Cha Marais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kutumia Mapolisi kumtangaza Wapinzani wao alikuwa ni Mwalimu Nyerere.
Lissu ni tishio kwa Mafisadi.Huyu ameshavuta gawio inaonekana, ni suala la muda tu
1995 πππTundu kama anapagawa vile hivi kulikuwa na chaguzi za vyama vingi enzi za mwinyi?
Yes uchaguzi wa mwaka 1995 Mwinyi ndio alikuwa RaisTundu kama anapagawa vile hivi kulikuwa na chaguzi za vyama vingi enzi za mwinyi?
Hapana. IGP alikuwa Mahundi na sio MahitaMahita alimpiga Mrema Lyatonga mabomu yasiyo na idadi wakati wa mwinyi.
Kwa hiyo tutarajie huko zanzibar 2025 yale ya 2020 hayatatokea?Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lisu amesema Chanzo Cha Marais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kutumia Mapolisi kuwanyanyasa Wapinzani wao alikuwa ni Mwalimu Nyerere.
Lisu anasema ni Rais Mwinyi pekee ambaye hakuwanyanyasa Wapinzani au Wananchi kwa kutumia Mapolisi
Source: Star tv
My take; Nakubaliana na Lisu kuhusu Mzee Mwinyi
Mlale Unono ππ
Wewe ndio umepagawa, Vyama vya upinzani vimeanza na Mwinyi.Tundu kama anapagawa vile hivi kulikuwa na chaguzi za vyama vingi enzi za mwinyi?
Mwaka huu hawahemi....hawakohoiLissu ni tishio kwa Mafisadi.
Na ndio maana ameishi Maisha marefu sana kuliko Wengi hapa Tz.Mzee alijua Dunia tunapita Kila mtu Aishi atakavyo na tule kilichopo wotee..hakutaka kashikashii za damu za watuu
Lumumba Typicalππni kwasabb wakati huo wapinzani hawakua na kiburi na ukaidi wa kutiii sheria bila shuruti kama yeye na wapinzani wenzie π
ni kweli, ila ndio aliongoza kwa kunyanyaswa na wapinzani, akina mbatia wakati wako daruso walimchora zile katuni waliita mzee punch,
ni mwinyi alinaswa kibao msikitini akiswali na hao wapinzani. alitukanwa na kukejeliwa wakimwita gabacholi tx mgeni kutoka unguja, je tuendelee kuvumilia hizi kejeli? wahenga walisema akifanya mazoea na mbwa atakufuata msikitini, sasa hatutaki mazoea na mbwa akaja tunasa vibao msikitini,
Wanafikiri watu wote ni GEN zMahita alimpiga Mrema Lyatonga mabomu yasiyo na idadi wakati wa mwinyi.