Tundu Lissu: Ni mzee Mwinyi pekee ambaye hakuwanyanyasa Wapinzani/ Wananchi kwa kutumia Mapolisi katika Utawala wake

Mahita alimpiga Mrema Lyatonga mabomu yasiyo na idadi wakati wa mwinyi.
Sio kweli, Mahits hakuwepo wakati wa Mwinyi, kama alikuwepo alikua hana mamlaka.

Pia Mwinyi ndie alimpa Mrema unaibu waziri mkuu. Ilikua hakuna cheo hicho kabla.
 
..wakati wa Mzee Mwinyi, Omary Mahita, alikuwa RPC wa Kilimanjaro, na analaumiwa kwa kuamuru Polisi wapige mabomu ya machozi kampeni za Nccr / Mrema, walipokuwa Moshi mjini.
 
Mahita alimpiga Mrema Lyatonga mabomu yasiyo na idadi wakati wa mwinyi.

..Mwinyi ana afadhali ukilinganisha na waliomfuatia.

..wakati wa Mkapa Wapemba waliuawa na Polisi wakati wa maandamano.

..wakati wa Kikwete wapinzani walipigwa mabomu, na jeshi lilitumika dhidi ya wananchi wa mikoa ya kusini.

..wakati wa Magufuli wapinzani waliandamwa utadhani ni wahuni.

..Lissu amekosea kumsafisha Mzee Mwinyi kwa asilimia 100%.
 
Sio kweli, Mahits hakuwepo wakati wa Mwinyi, kama alikuwepo alikua hana mamlaka.

Pia Mwinyi ndie alimpa Mrema unaibu waziri mkuu. Ilikua hakuna cheo hicho kabla.
Mahita alikuwa RPC Arusha wakati wa Mzee Mwinyi
 
Sio kweli, Mahits hakuwepo wakati wa Mwinyi, kama alikuwepo alikua hana mamlaka.

Pia Mwinyi ndie alimpa Mrema unaibu waziri mkuu. Ilikua hakuna cheo hicho kabla.
Ulikuwa ughaibuni miaka hiyo, na mawasiliano hayakuwa mepesi kama ilivyo leo.

Aliyoyafanya Mahita yalimkasirisha sana sheikh Mtopea, akalazimika kumuombea mabaya, Mahita akaishia kuzaa na binti wa kazi nyumbani kwake.

Laana mbaya sana.
 
Umbea huo. Ulitaka azae na wewe? Simba bado anadunda, sema tu.
 
Back
Top Bottom