Sio kweli, Mahits hakuwepo wakati wa Mwinyi, kama alikuwepo alikua hana mamlaka.Mahita alimpiga Mrema Lyatonga mabomu yasiyo na idadi wakati wa mwinyi.
Sio kweli, Mahits hakuwepo wakati wa Mwinyi, kama alikuwepo alikua hana mamlaka.
Pia Mwinyi ndie alimpa Mrema unaibu waziri mkuu. Ilikua hakuna cheo hicho kabla.
Ndiyo maana nasema Lisu ni mropokaji sana anayedhani watu wote anaoongea nao hawana akili.Mahita alimpiga Mrema Lyatonga mabomu yasiyo na idadi wakati wa mwinyi.
Mahita alimpiga Mrema Lyatonga mabomu yasiyo na idadi wakati wa mwinyi.
Mahita alikuwa RPC Arusha wakati wa Mzee MwinyiSio kweli, Mahits hakuwepo wakati wa Mwinyi, kama alikuwepo alikua hana mamlaka.
Pia Mwinyi ndie alimpa Mrema unaibu waziri mkuu. Ilikua hakuna cheo hicho kabla.
Ulikuwa ughaibuni miaka hiyo, na mawasiliano hayakuwa mepesi kama ilivyo leo.Sio kweli, Mahits hakuwepo wakati wa Mwinyi, kama alikuwepo alikua hana mamlaka.
Pia Mwinyi ndie alimpa Mrema unaibu waziri mkuu. Ilikua hakuna cheo hicho kabla.
Umbea huo. Ulitaka azae na wewe? Simba bado anadunda, sema tu.Ulikuwa ughaibuni miaka hiyo, na mawasiliano hayakuwa mepesi kama ilivyo leo.
Aliyoyafanya Mahita yalimkasirisha sana sheikh Mtopea, akalazimika kumuombea mabaya, Mahita akaishia kuzaa na binti wa kazi nyumbani kwake.
Laana mbaya sana.