amani na haki ndiyo msingi wa taifa na hicho kinachoitwa dini . Lazima watambue . Lakini paulo aliandika ,'''' watu ni wazuri wa kumjua Mungu lakini si katika maarifa "" . kuna wakati lazima tuwajue viongozi wetu waliopo mbele yetu . Kuwa mujibu wa biblia hawa ni watumishi wa Mungu kwa ajili ya mema , si katika uovuKiongozi yoyote wa dini anakuwa upande wa watawala badala ya wanyonge huyo sio kiongozi bali ni mganga njaa tu!! Ktk Africa ni Desmond tutu, pekee ndio huwa hapepesi macho kwa wadharimu. Wewe unasisitiza amani bila kuangalia haki ipo?
Wale wote waliosema Lowasa ni mgonjwa hafai kwenda Ikulu wameshaliwa na funza hadi sasa,endelezeni tu kejeli zenu mtakufa vinywa wazi mkimuacha mbeba maono akiapishwa kutinga Ikulu.Si haba lisu nae kaingia kwenye historia ya kuwa msindikizaji wa ushindi wa magufuli hakuna kipya View attachment 1543968
Wakati wa ukoloni ndo ilikuwa hivyo! Dini ni kuwalainisha wananchi uwatawale vyema!Kiongozi yoyote wa dini anakuwa upande wa watawala badala ya wanyonge huyo sio kiongozi bali ni mganga njaa tu!! Ktk Africa ni Desmond tutu, pekee ndio huwa hapepesi macho kwa wadharimu. Wewe unasisitiza amani bila kuangalia haki ipo?
Hata alipopigwa risasi mlisema hatapona na hata akipona atakua hana nguvu za kupambana lakini matokeo yake nguvu zimeongezeka Mara dufuSi haba lisu nae kaingia kwenye historia ya kuwa msindikizaji wa ushindi wa magufuli hakuna kipya View attachment 1543968
Umenena. Nina hakika yule mwovu aliyetuma watu wakampige risasi mithili ya swala sasa hivi anaona aibu. Ni kama anawafokea wale aliowatuma kwamba "mbona mlipiga risasi 16 tu? mgeongeza zingine 4 zifike 20". Laini yule mwovu anashindwa kutambua kwamba risasi moja tu inamwua tembo lakin 16 zilishindwa kumwua TL. Mungu ana mpango na kipenzi cha Watanzania Tundu Lissu!Kwa sisi wazee wa imani . ukisoma Yoshua 23: 12- 13. wana wa israel waliambiwa na joshua . wasirudi nyuma ,wasonge mbele kuwaondoa wale wana wa kanaani wote . wakiwaacha itakuwa mtego na kitanzi kwao .
Hoja yangu ni kuwa kwa kuwa wao waliamua kummaliza lissu na ikashindikana . sasa hii imekuwa Tanzi kwao . Huu ulikuwa ni uovu , kumuondoa mwenzako kwa utashi wako na wala si Mungu alivyotaka . Nina imani Kuna jambo kubwa lissu anaenda kufanya .Baada ya kufufuka huku . Iwe ni kukamata uraisi, kuukosa , iwe ni kupiga kampeni . all in all kuna jambo kwa utukufu wa Bwana .
Siku zote Mungu huwa anawatumia watu katika makusudi yake . Wale waliopinda pinda , wale ambao kwa macho ya kibinadamu unaona si perfect . Hata kiongozi wetu mkuu , alikuwa ni mtu aliyeanza majukumu ya siasa kutoka chini sana . kwanza niliwahi kusikia ushuhuda wake , kwa mara ya kwanza alikuwa anapiga kampeni kwa baiskeli . huku akihisi kama anabahatisha ,lakini leo katoboza . Ana good determination .
Nikisoma kitabu cha waamuzi katika biblia . kinaniambia mtu akitoka katika agano na Mungu , madhara ni lazima . kila siku waamaleki na wamoabi watakufukuza tu . swala ni kutubu kwa yale tuliyokosea , hasa damu zilizo mwagika . Kuna familia zina lia kwa wapendwa wao kupotea na kufa . baada ya hapo tusonge mbele .
Tundu Lissu ni mtego na tanzi kwa utawala huu . TUBUNI !
Kwa kuwa wewe ni mzee wa imani na mimi nikurejeshe kwenye maandiko matakatifu. Soma Mhuburi Sura ya 10, ila nakutolea mstari mmoja tu ambao unamgusa anayepaswa kutubu.
Mhubiri 10:1 Mainzi mafu huvundisha marhamu ya mwuza marashi; Kadhalika upumbavu haba ni mzito kuliko hekima na heshima.
Jibu lake Mhubiri 10:17 Heri kwako, nchi, mfalme wako akiwa mtoto wa watu, Na wakuu wako hula wakati ufaao, Ili makusudi wapate nguvu, wala si kwa ajili ya ulevi.
Lowasa ni gwiji la siasa ana mvuto na akiongea Ni maneno matatu tu na Chadema yote Ina deki barabara na kupunga mikono hewani ndio umfananishe na huyo msaliti lisu, mbona unalidhalilisha hili jukwaaWale wote waliosema Lowasa ni mgonjwa hafai kwenda Ikulu wameshaliwa na funza hadi sasa,endelezeni tu kejeli zenu mtakufa vinywa wazi mkimuacha mbeba maono akiapishwa kutinga Ikulu.
Mtasoma Sana maandiko na mtakariri Sana mistari Cha kujiuliza Ni kuwa lisu atashindwa vibaya Sasa nikuulize swali je hiyo biblia uliyo nukuu ndio itakuwa inasema uongo au wewe ndio utakuwa umepotosha?Ungeongeza nyama kidogo kwenye paragraph ya mwanzo kabla ya haya Maandiko ingekuwa vizuri zaidi otherwise yanamuelekea huyu huyu aliyaambiwa hapa atubu hasa hiyo.....
Mhubiri 10:17...
Kwa tafsiri yangu changa ya Maandiko Matakatifu hii Aya inaenda kwa Watanzania moja kwa moja ambao hapa wanasimama kama “Taifa” ikiwaasa kwamba kiongozi wao awe mtu wa watu(kama huyu Lissu) mfano ukiangalia watu walivyojitokeza bila kujali jua au polisi,na hakuna msanii yeyote pale useme wameenda kuangalia wasanii....“na wale kwa wakati ufaao”,kwamba wakati wa upinzani ulikuwa bado na sasa ndiyo zamu yao,“Ili makusudi wapate nguvu”,kwamba wapate nguvu kuwashughulikia wale waliokuwa wakidhulumu nafsi za watu refer B.Saanane,A Gwanda etc...“Wala si kwa ajili ya ulevi”,hakuna ambaye ameona ulevi wa madaraka ktk Taifa hili kama awamu hii,hapo haijamaanishwa ulevi wa gongo sijui bia ila ni ulevi wa kiburi,kujiona wewe ndiye una haki ya kuishi or uwageuze wenzako vilema na kuwapeleka watu jela kwa kesi zisizo na mashiko etc.
Mhubiri 10:1
“Kadhalika upumbavu haba ni mzito kuliko hekima na heshima”
Hapa sitatia neno sana ila kama kiongozi ukajifanya mpumbavu japo kidogo tu,japo inauma ila hekima na heshima (hasa ya kauli) ukawa nayo hakuna atakayekulaumu,hili andiko Dk Kikwete aliliishi,alitukanwa sana ila hakuna siku ameambia watu kwamba kwa sababu ulichagua mpinzani basi “nenda kamweleze yeye shida zako akutatulie”.
Kwa uelewa wangu mdogo nadhani haya Maandiko yanarudi kwa watawala!
Nguvu gani alizokuwa nazo? Lisu Ni msaliti tu atawapata wajinga Kama wewe na Hana ubavu wa kushindana na jembe magufuli ni sawa uwafananishe Messi na kichuyaHata alipopigwa risasi mlisema hatapona na hata akipona atakua hana nguvu za kupambana lakini matokeo yake nguvu zimeongezeka Mara dufu
Wait and see what's gonna happen time heals all wounds
Hebu na wewe thibitisha kuwa si serekali!acha upumbavu usihusishe kupigwa kwa lissu na serikali unaushahidi gani kama ndiyo inahusika ilhli kashindwa kwenda kushtaki ili ufanyike upelelezi anakaa kulaumu majukwaani waliomzuru anawajua yeye na ni siri yake usihusishe mungu na ujinga wa lissu
Amesaliti nini we kiazi? na wakati nyie ndo mmesaini mikataba?Nguvu gani alizokuwa nazo? Lisu Ni msaliti tu atawapata wajinga Kama wewe na Hana ubavu wa kushindana na jembe magufuli ni sawa uwafananishe Messi na kichuya
Wewe punga la kichadema Kama hujui hata usaliti wake unafaida gani Sasa?Amesaliti nini we kiazi? na wakati nyie ndo mmesaini mikataba?
Punga ni baba yako mzaa mama, wewe umerithi. Kiazi cherema wewe.Wewe punga la kichadema Kama hujui hata usaliti wake unafaida gani Sasa?
[emoji23][emoji1787]Punga ni baba yako mzaa mama, wewe umerithi. Kiazi cherema wewe.
aisee nani huyo? duuuPunga ni baba yako mzaa mama, wewe umerithi. Kiazi cherema wewe.
Kwa sisi wazee wa imani . ukisoma Yoshua 23: 12- 13. wana wa israel waliambiwa na joshua . wasirudi nyuma ,wasonge mbele kuwaondoa wale wana wa kanaani wote . wakiwaacha itakuwa mtego na kitanzi kwao .
Hoja yangu ni kuwa kwa kuwa wao waliamua kummaliza lissu na ikashindikana . sasa hii imekuwa Tanzi kwao . Huu ulikuwa ni uovu , kumuondoa mwenzako kwa utashi wako na wala si Mungu alivyotaka . Nina imani Kuna jambo kubwa lissu anaenda kufanya .Baada ya kufufuka huku . Iwe ni kukamata uraisi, kuukosa , iwe ni kupiga kampeni . all in all kuna jambo kwa utukufu wa Bwana .
Siku zote Mungu huwa anawatumia watu katika makusudi yake . Wale waliopinda pinda , wale ambao kwa macho ya kibinadamu unaona si perfect . Hata kiongozi wetu mkuu , alikuwa ni mtu aliyeanza majukumu ya siasa kutoka chini sana . kwanza niliwahi kusikia ushuhuda wake , kwa mara ya kwanza alikuwa anapiga kampeni kwa baiskeli . huku akihisi kama anabahatisha ,lakini leo katoboza . Ana good determination .
Nikisoma kitabu cha waamuzi katika biblia . kinaniambia mtu akitoka katika agano na Mungu , madhara ni lazima . kila siku waamaleki na wamoabi watakufukuza tu . swala ni kutubu kwa yale tuliyokosea , hasa damu zilizo mwagika . Kuna familia zina lia kwa wapendwa wao kupotea na kufa . baada ya hapo tusonge mbele .
Tundu Lissu ni mtego na tanzi kwa utawala huu . TUBUNI !
Post of the day! Yaani umetoa description ambayo ni sahihi kumwelezea Lisu a madhira yaliyompata.
Kuna jambo zuri kwa mama Tanzania litatokea
Tujipe muda tu
Mungu ni Mwema Tundu Lissu bado yupo hai
Viongozi wa dini hawaoni haya! Ujuwe dini ni kama ya mkoloni tu. Kitu kimebadilika na watawala tu🤦🏾♂️
Hati ya kifo ilikuwa ishachapishwa na kugongwa muhuri - Mungu akagoma.... muda huu tungekuwa tushaanza kumsahau kaburini....wanadamu wana roo mbaya..wakikukalia kikao acha kabisa.
Mshahara wa dhambi ni mauti hivyo sasa wanavuna dhambi ya kutaka kumtoa uhai Lissu
Si haba lisu nae kaingia kwenye historia ya kuwa msindikizaji wa ushindi wa magufuli hakuna kipya View attachment 1543968
Mchoraji anaitwa Gado ni Mtanzania anaeishi Kenya.
serikali yako ndiyo inahusika kama hutaki jinyongeAcha upumbavu usihusishe kupigwa kwa Lissu na serikali unaushahidi gani kama ndiyo inahusika ilhli kashindwa kwenda kushtaki ili ufanyike upelelezi anakaa kulaumu majukwaani waliomzuru anawajua yeye na ni siri yake usihusishe mungu na ujinga wa lissu
nimeacha kushiriki misa ndani ya kanisa nililobatizwa kwa vile wameamua kukumbatia uovuViongozi wa dini hawaoni haya! Ujuwe dini ni kama ya mkoloni tu. Kitu kimebadilika na watawala tu🤦🏾♂️