Tundu Lissu ni tanzi kwa utawala

Acha upumbavu usihusishe kupigwa kwa Lissu na serikali unaushahidi gani kama ndiyo inahusika ilhli kashindwa kwenda kushtaki ili ufanyike upelelezi anakaa kulaumu majukwaani waliomzuru anawajua yeye na ni siri yake usihusishe mungu na ujinga wa lissu
Mpaka sasa Lissu ameshashinda Urais kwa asilimia 50 kabla ya kampeni.
 

Mkuu hapa umeelewa vyema sana ,Bwana akutie nguvu zaidi upate kuona maono haya . Watanzania wengi hawajaona hili . Sisi tunajua Mungu anakitu na Lissu , na kwa kuwa Mungu anatuwazia mema daima , basi litakuwa jema .
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kwel we n zumbukuku
 
Nguvu gani alizokuwa nazo? Lisu Ni msaliti tu atawapata wajinga Kama wewe na Hana ubavu wa kushindana na jembe magufuli ni sawa uwafananishe Messi na kichuya
Nyie ndo wale wale mnaokariri hmna mnachojua mkiambiwa mlete huo ushahidi wa usaliti wake mnabwabwaja tu mabeberu mabeberu!! Kuhusu nguvu aliyonayo huwez kuiona wewe ila wale wanaoiona wanahangaika usiku na Mchana kufikia mpaka akapigwa risasi angekua hana effect wasingehangaika nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…