johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nilimsoma Tundu Lisu akiwalaumu akina Halima Mdee na wenzake kwa kukubali kuapishwa kuwa wabunge ilhali uchaguzi haukuwa huru na haki....
We jamaa mara useme Lissu amefilisika kisiasa mara Lissu hakuwa mgombea sahihi mara Lissu anatumiwa na mabeberu yani ni vurumai tupu [emoji1] cha ajabu sasa kila uchwao thread zako ni Lissu Lissu Lissu au kakuachia kibendi mzee?Nilimsoma Tundu Lisu akiwalaumu akina Halima Mdee na wenzake kwa kukubali kuapishwa kuwa wabunge ilhali uchaguzi haukuwa huru na haki...
Hahahaaaa....... Mbona una kimuhe muhe manka!We jamaa azikutoshi kichwani mara useme Lissu amefilisika kisiasa mara Lissu hakuwa mgombea sahihi mara Lissu anatumiwa na mabeberu yani ni vurumai tupu [emoji1] cha ajabu sasa kila uchwao thread zako ni Lissu Lissu Lissu au kakuachia kibendi mzee?
Yani wasimuue kwenye kampeni waje wamuue baada ya uchaguzi?? Kwa faida ya nani 1?? Tafakari mkuu🤔🤔Mlikua na mpango wa kum Restisha In Peace, asingeweza kutoa lawama.
Umempa tafakuri ya kufungia mwaka.yani wasimuue kwenye kampeni waje wamuue baada ya uchaguzi?? Kwa faida ya nani 1?? Tafakari mkuu🤔🤔
Nilimsoma Tundu Lisu akiwalaumu akina Halima Mdee na wenzake kwa kukubali kuapishwa kuwa wabunge ilhali uchaguzi haukuwa huru na haki....
Alitunishiana misuli na polisi akisema nifanyeni lolote hata kunipiga risasi nipigeni!Mlikua na mpango wa kum Restisha In Peace, asingeweza kutoa lawama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu huyu alierusha hadi chopa bila kibari ndio amekimbia kisa kitisho cha kwenye simu?Ukweli ni ukweli, uuongelee China, Ulaya, Amerika, Ivory Coast, itigi au hata Mwananyamala ni ukweli tu. Angesubiri aongelee huo ukweli hapa angeshapoteza uhai.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu huyu alierusha hadi chopa bila kibari ndio amekimbia kisa kitisho cha kwenye simu?
Hahahaaaa...... Tindo humwambii kitu kwa TAL!Watanzania wanafurahisha sana, na bado Kuna watu wanamuona jembe
Nyie mipango yanu ya kupitishwa na neccm bila kupingwa ilitikimpango wake umekwama
Yaani hiyo ndo umeona tafakuri? Walipompiga risasi kulikuwa na kampeni gani?Umempa tafakuri ya kufungia mwaka.
Safi sana!
Teh teh teh.... Nimecheka kwa sauti nikakimbia nitoke nje kumbe nimesahau napitia pazia la dirishani nikidhani mlango hadi naandika hapa ni baada ya kufutwa damu.We jamaa mara useme Lissu amefilisika kisiasa mara Lissu hakuwa mgombea sahihi mara Lissu anatumiwa na mabeberu yani ni vurumai tupu [emoji1] cha ajabu sasa kila uchwao thread zako ni Lissu Lissu Lissu au kakuachia kibendi mzee?