Tundu Lissu ni vema angewalaumu ACT-Wazalendo na akina Halima Mdee akiwa nchini lakini siyo Ubelgiji

Tundu Lissu ni vema angewalaumu ACT-Wazalendo na akina Halima Mdee akiwa nchini lakini siyo Ubelgiji

Angekuwa hajapigwa risasi, huu utetezi wako ungekuwa na nguvu. Lakini hadi sasa hata waliomshambulia kwa risasi hawajakamatwa.
Lisu kuondoka Tanzania ilikuwa ni lazima kuokoa maisha yake.
Maana baada ya kampeni ulinzi uliondolewa,wangemchapa shaba afu mwisho Wa siku siro angetoka hadharani na majibu hafifu.
 
Back
Top Bottom