Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Ina maana nawewe ni kati ya watu wasiyo julikana?
 
Kamuulize Bashite wako leo hii yuko wapi? Nasikia yupo mbutu ameanza kufuga bata mzinga
Huyo sio size yenu kabisa ni suala la muda tu.
Hawezi kulingana nanyi hata siku mmoja.
 
HUYU NDIE TULIKUWA TUKIMSUBIRI, LOWASA ALITULOSTISHA MNO, ALIKUWA UJI, TULIJUA WAMASAI WANAUA SIMBA HIVYO JEURI NA HAWAKUBALI KUSHINDWA ILA YEYE ALIKUWA MATOBHOLO KABISA
Mkuu Wamasai siku hizi wanasuka dada zetu huku mjini
 
Lini ccm waliwahi kushinda uchaguzi kihalali???
 
Sema wewe hutaingia barabarani. Sisi tutaingia barabarani . Fanyeni mtupige risasi wote nadhani huyo magufuli na wakuu wake wa vyombo kama wanaisikia tu ICC sasa ndo wataijua ni nini. Kifupi ni kuwa hakuna kuiba kura mwaka huu. Enough is Enough
ICC wana akili kukuzidi wewe MSHABIKI!
 
Safari hii ni bampa kwa bampa, mkifanya ule ujinga kama wa LUBUVA tunaingia barabarani ili tumtoe kwa nguvu huyo jemedari wenu kama LAURENT GBAGBO.
Mnaota ndoto, muulize mbowe alivyokimbia siku ya akwilina, utafikiri mwanariadha wa kenya.
 
Hiki ndio nilikuwa nawaambia watu juzi.
 
Umenena vema sana mkuu nimekuelewa.
 
Amesema akiibiwa kura, siyo akishindwa - soma hiyo tweet vizuri
 
...Tanzania inapita katika kipindi kigumu kuliko wakati wowote ule. Kama hatutakuwa makini basi tutakuja kuikumbuka hii miaka kwa masikitiko sana huko mbeleni.
Tupo kwenye uchumi wa kati mkuu hicho kipindi kigumu ni kipi tena?...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
MKUU LISSU KASEMA IWAPO AKIIBIWA KURA sasa wewe unavosema eti MY TAKE: hata akishindwa kihalali ataawambia watu waingie barabarani ili kutimiza azma yake hiyo kauli umeitoa wapi au umemsikia wapi? Itendee haki dhamiri yako!!
Kwani hilo neno MY TAKE wewe umelielewaje mkuu?
 
Hiyo sasa ni extreme! Tufanye haki alafu tuanzie hapo. Na pia mashaka ya wapinzani, wote tunajua msingi wake, hasa kama tulikuwepo Tanzania, hata wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa tu, wacha chaguzi zile za maisha ya Aquilina Aquline!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…