Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Msi kuze maneno...
Mwacheni Lisu atoe sumu na hasira aliyo ipata baada ya kuponea chupu chupu na kusalimiana na malaika mtoa Roho...
 
Wagombea kama hawa ni kuwabana mapema hata kabla ya kampeni hazijaisha.

Bado tunaihitaji amani tuliyonayo.
 
Walipo mpiga risasi hamkusema chochote zaidi ya kusherehekea
Wagombea kama hawa ni kuwabana mapema hata kabla ya kampeni hazijaisha.

Bado tunaihitaji amani tuliyonayo.
 
Walipo mpiga risasi hamkusema chochote zaidi ya kusherehekea
Mimi ni Daby.
Hatupo wengi.

Natoa maoni kama mtu mmoja aliyehuru kabisa. Alipopigwa risasi nilikuwa na mtazamo tofauti kabisa na huu hapa.

Na huo mtazamo hauninyimi kuwa na mtazamo mwingine kumhusu Lissu.
 
MH jamani condition ni kwamba akiibiwa kura .hata kubali.
 
Huyu hata nusu ya kura 600,000 za Mbowe za 2005 hatazipata, za slaa 2mil ndiyo kabisaaaaaaaa.
 
Mimi ni Daby.
Hatupo wengi.

Natoa maoni kama mtu mmoja aliyehuru kabisa. Alipopigwa risasi nilikuwa na mtazamo tofauti kabisa na huu hapa.

Na huo mtazamo hauninyimi kuwa na mtazamo mwingine kumhusu Lissu.
Ulifurahi?
 
Lissu atashindwa na hatofanya lolote
Chadema imesimamisha wagombea kwenye asilimia tano tu ya Citi,halafu huyu anaota kushinda uchaguzi
 
Inakuhusu nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…