Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Well said..πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
huyu ndie kiongozi tunaemtaka kwa sasa
 
Ooohh kashachemka kiwango hiki, hii ndio papara tunaita. Kiongozi lazima uwe big brained. Sio low IQ hivi
 
Huyo ameandaliwa na mabeberu kuleta machafuko katika nchi yetu. Atachafuka yeye kabla hajaichafia Tanzania.

Sijui hawakukiona kichwa!!
 
Ndio, awaingize kwani hata mahakama haiuruhusiwi kuchunguza matokeo ya Urais. Hiki kifungu hakijabarikiwa na wananchi zaidi ya 'wahuni' wachache.
 
Ooohh kashachemka kiwango hiki, hii ndio papara tunaita. Kiongozi lazima uwe big brained. Sio low IQ hivi
Je, una matokeo ya kipimo cha IQ yake au ni hisia zako tu? Tuambie maana ya kifungu cha katiba 'hakuna kuhoji matokeo ya Urais.'
 

Mbona hueleweki umeandika ( akiibiwa, akishindwa) tumia neno moja alilotamka ujue watu wengi walimsikiliza
 
Acha upuuzi wa kubadilisha maneno! Kasema akiibiwa kura sio akishindwa Uchaguzi!
 

Kusema kweli kauli kama hii imetoka mapema, ila yawezekana majira, nyakati na yanayo tendeka na kutokea, yanaweza sababisha kauli kama hizi zitolewe mapema.
 
Wengi hawana uwezo wa kuyaona masuala kama ulivyouonyesha katika hicho ulichoandika.
 

Ikithibitika ameibiwa au akihisi ameibiwa?
 
Kama walivyotaka kuchukua uhai wake watu hawakuingia barabarani unadhani waitingia kisa kura? Watanzania ni wazuri sana kupiga kelele mpo pamoja hadi pale utapowahitaji muwe pamoja.
CCM walizuia mpaka maombi sembuse maandamano? Walihakikisha hakuna wa kumlilia Lisu kwa uwazi wazi
 
Lissu atashindwa na hatofanya lolote
Chadema imesimamisha wagombea kwenye asilimia tano tu ya Citi,halafu huyu anaota kushinda uchaguzi
Usitumie utabiri wako kwa takwimu za huko nyuma kumbuka chadema watakuja kivingine ya Malawi yanaenda kutokea Tanzania
 
Magufuli wamuongezee betri ya ziada huo moyo kwa kampeni za mwaka huu anaweza akautapika mshaurini.lissu siyo wa mchezomchezo.
Alizuia mikutano ya wapinzani kwa miaka 5 akajiona mjuaji sasa madhaifu madhambi yote aliyofanya akizani hayajulikana atayasikia yote moja baada ya ingine na ndipo atawatumbua wasiri wake kipindi kampeni ikiendelea
 
Huyo ameandaliwa na mabeberu kuleta machafuko katika nchi yetu. Atachafuka yeye kabla hajaichafia Tanzania.

Sijui hawakukiona kichwa!!
CCM acheni kuwaita wanaume wenzenu mabeberu kwani nyinyi ni mbuzi jike?
 
Kuzuia mikutano ya siasa, kuwabambikia kesi, kuwapiga risasi, kuwapora ushindi wapinzani ni ukaburu ubeberu inashangaza CCM kuwaita wanaume wenzao mabeberu utazani wao ni mbuzi jike majike?
 
Wee ndata usijiamini kuwa hilo gobore ndilo solution nakuhakikisha wewe na familia yako hamtakuwa salama! Trust me! jitafakari tena!
Acha vitisho vya kipumbavu wewe. Karne hii bado tu unatumia ujinga kufikiri?
Nimeandika mawazo yangu. Hv unahisi Tl aitishe maandamano yasiyo na kibari then polisi watamuacha tu? kwakua yeye mlemavu? kawaulize wazee wa EAC, walifanywaje. Ninaongea kwa experience na sio mihemko kama wewe. Na sijaongea kishabiki ila hali halisi ilivyo na tabia ya TL ya kuropoka so inawatengenezea polisi chuki kwake kwa dharau na kebehi zake so lazima wa mind, na siku akiingia anga zao, mark my word, atajuta.
 
Bado sana utanikubali na haya maneno muda ukiwadia
 
Hajasema "NIKISHINDWA" amesema "NIKIIBIWA" tafsiri yake ni kwamba ikitokea ameshindwa kihalali atakubali na maisha mengine yataendelea ila ikitokea amefanyiwa figisu ndio atafanya hicho alichosema atafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…