Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Yaani mnataka tuwe kama Syria??
Kwani unafikiri Syria walitaka iwe hivyo. Mifumo mibovu ya ukandamizaji, mgawanyo na utengenezaji wa matabaka husababisha yote hayo. Jana shangazi katoa darasa zuri sana kwenye mkutano wa ACT .... tafuta video umsikilize.
 
Mama yake na mkewe wakiwa front line itapendeza zaidi
 
HIVI KATI YA HAWA WAPINZANI KUNA MTU WA KUSHINDANA NA KURA ATAKAZOPATA JPM KWELI? INACHEKESHA.
WATATIKISA LAKINI KIDOGO IWAPO KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM ITA-MESS UP NA KUREJESHA MAJINA KAMA YA ALLY KEISSY MOHAMED; HAPO KWA KWELI KAZI ITAONEKANA KWA MBWA KULA MBWA.
 
Endelea kujifariji,mazingirq ya Eqypt na Syria Ni tofauti na ya Tanzania,Mambo yenu ya kuiga ndio Mana mnafeli kwa kila Jambo,kuitoa ccm kunahitaji kujipanga sana so njia za mkato
 
Wewe ni mnafiki tu na hauna maana kabisa. Sasa mlitaka asemeje, kuwa mkimwibia atawapongeza. Bure kabisa.
 
Mbona siku zote wana nchi wapo barabarani kuna shida gani tundulisu kuwaamulu waende tena?
 
Huyu ndio anafaa kulingana na nyakati tulizonazo leo hii.
Nani ataingia barabarani kusema ni rahisi na kigezo gani atakitumia kuonyesha kaibiwa? Sioni mtanzania yeyote atakayemfuata labda wajinga peke yao sababu huo ni uongo. Wakati Akwilina anapigwa risasi viongozi wote walikimbia leo nani atawasikiliza hawa wehu
 
Lisu anashangiliwa na wajinga wachache ambao hata kura hawapigi. Yaan atakuja kulia na kusaga meno tu. Amuulize lowasa yepi yalimtokea, akamuulize mrwma nini kilimtokea japo nlikuwa bado mdogo sana ila nakumbuka niloyaona, amuulize mtikila pia ,lipumba naye alishaonja joto ua jiwe. Sasa kwa serikali ya magu kafunika kila sekta
 
wewe ni mjinga sana!
 
Atawaingiza ndugu zake. Familia yake ameiacha Ubelgiji ili aje alete vurugu huku!! Atanyooka tu awamu hii.
 
Wewe kweli ni Mr. Zero!! Watz siyo wajinga hivyo subiri October 2020 uone cha moto!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…