Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Haitakuja kuwezekana labda kama kura tutapiga kwa njia ya mtandao na base ya NEC iwe chini ya mabeberu au wasisimizi wengine.
 
Lissu ana akili kuuzidi ukoo wenu wote na Lumumba kwa ujumla mkichanganya
 
VIP kiki ya Benard Membe imebuma sasa imekuja ya Tundu lissu huyo aise jiandaeni kisaikolojia JPM mpaka 2035
 
Huo mdahalo Mkuu akitokea najinyonga
 
Mi naamini hii kitu kitakuja kutokea 2020 October ila sitoshangaa kama Chadema hawata udhulia uo mdahalo.
Na mm nna hakika "chadema" hawawezi kuhudhuria maana katka chaguz zote hao "chadema" ndo huwa wanakataa.. Kuna kipndi 2015 katka chaguz za wabunge walikua wanaonyesha live "chadema" wakaaona wanagaragazwa wakastitisha Mara moja huo ujinga
 
Kwakweli ameshapata kura yangu.
Tumuondoe tu Jiwe.
CCM bado ipo madarakani si chini ya miaka 100 ijayo maana Tanzania upinzani bado sana amini haya kuu.Kwanza 2020 idadi ya wabunge wa upinzani itaporomoka pakubwa Rais Magufuli amerudisha imani kubwa kwa wananchi.Muda ni Mwalimu mzuri.
 
katika nyakati kama hizi ambazo Magufuli anafanya siasa za kweli ni rahisi sana wapinzani kujipa matumaini labda watatangazwa wao washindi pasipo kushinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…