The Valiant
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,826
- 3,947
Hata jela haijui..kwani ashawahi hata kupelekwa mahakamani? Na kama kuna kesi...kumewahi kuwa na mwendelezo wowote?mana shutuma anazoibua ni nzito sana ingekuwa mtu mwengine kesha restishwa in peace.
Wawekezaji wako CCM,CHADEMA hakuna wawekezaji.Hivi mnamjua sawasawa Elikael Mbowe nyie bavicha, mmesubiri awekwe korokoroni ndiyo mnaanza mapinduzi.Lissu kapewa na nani kibali cha kubeba kijiti badala ya Edo.Mnaota ndoto za mchana, yaani Edo kawekeza kiasi hicho halafu mpiga debe apeperushe bendera. Bavicha you are not serious
MADAM BENSON UNAHANGAIKA SANA KUFANYA SABOTAGE YA BIG FIGURE KAMA KUKU ANAYEHATAMIA MAYAI.Kwa kuzingatia sifa kuu mbili tu muhimu Zitto ni zaidi ya Lissu kwa nafasi ya Urais Upinzani. Sifa zangu mbili ni
1. Ukomavu wa kisiasa
Zitto amekomaa kisiasa kuliko Lissu. Zitto amekabiliwa na misukosuko mingi ya kisiasa na amevuka yote.
2. Exposure (Kujua na kujulikana)
Zitto anajua mambo mengi sana. Anajulikana sana kitaifa na kimataifa. Ana network kubwa sana duniani na ndani ya Tanzania. Zitto ana deserve kuwa Rais na atamudu zaidi kuliko Lissu.
Lissu achukue Uenyekiti wa Chadema kwanza ndio awaze Urais
Ila katika wapinzani wote Zito nadhani ndio anayeongoza kuibua hoja zenye mantiki kwa mwananchi wa kawaida,sasa najaribu kujiuliza kama ni mwanakitengo,yuko kwa malengo yepi .au ndo wanamuandaa kuwa Rais huko mbeleni,maswali ni mengi kuliko majibu.Hata jela haijui..kwani ashawahi hata kupelekwa mahakamani? Na kama kuna kesi...kumewahi kuwa na mwendelezo wowote?
Umelogwa wewe, ungejua hakuna hata anaekuekewa ungeacha post zako za kijinga.Kwa kuzingatia sifa kuu mbili tu muhimu Zitto ni zaidi ya Lissu kwa nafasi ya Urais Upinzani. Sifa zangu mbili ni
1. Ukomavu wa kisiasa
Zitto amekomaa kisiasa kuliko Lissu. Zitto amekabiliwa na misukosuko mingi ya kisiasa na amevuka yote.
2. Exposure (Kujua na kujulikana)
Zitto anajua mambo mengi sana. Anajulikana sana kitaifa na kimataifa. Ana network kubwa sana duniani na ndani ya Tanzania. Zitto ana deserve kuwa Rais na atamudu zaidi kuliko Lissu.
Lissu achukue Uenyekiti wa Chadema kwanza ndio awaze Urais
Siku hizi umekua m.b.u.m.b.u.m.b.u! Nini shida kijana?njaa ama...Kwa kuzingatia sifa kuu mbili tu muhimu Zitto ni zaidi ya Lissu kwa nafasi ya Urais Upinzani. Sifa zangu mbili ni
1. Ukomavu wa kisiasa
Zitto amekomaa kisiasa kuliko Lissu. Zitto amekabiliwa na misukosuko mingi ya kisiasa na amevuka yote.
2. Exposure (Kujua na kujulikana)
Zitto anajua mambo mengi sana. Anajulikana sana kitaifa na kimataifa. Ana network kubwa sana duniani na ndani ya Tanzania. Zitto ana deserve kuwa Rais na atamudu zaidi kuliko Lissu.
Lissu achukue Uenyekiti wa Chadema kwanza ndio awaze Urais
Yaani baada ya kusikia Lissu anagombea urais huko Lumumba hakukalikiTuliza Wenge wewe,umepanic kusikia Lissu kutangaza nia ya urais?
No.5: not applying for but contesting toKwa Tume Huru ya Uchaguzi ushindi kwa Lissu hapo ni saa 2 asubuhi tu. Tutaomba na mdahalo wa KIINGEREZA ( na kiswahili) wa wagombea na moja ya maswali yangu kwa kila mshiriki kati ya hao wawili ni:
1. What is leadership? Based on the meaning of leadership, do you think you deserve to be a leader?
2. What is the meaning of development as per Abrahamu Lincolin? To what extent Tanzania adheres to the belief of this scholar?
3. What is the advantage of a country which observes Diplomacy links? How Tanzania is diplomatically linked? Who is the key individual to observe such a diplomacy in a given country? Does Tanzania have such an individual?
4. Is there any need for a country to have her own Constitution? Explain. Where do we get ideas for constitutional review? To what extent Tanzania has observed and honoured the process of making the Constitution?
5. Why do you think you are the right candidate for the position you are applying for?