Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

mana shutuma anazoibua ni nzito sana ingekuwa mtu mwengine kesha restishwa in peace.
Hata jela haijui..kwani ashawahi hata kupelekwa mahakamani? Na kama kuna kesi...kumewahi kuwa na mwendelezo wowote?
 
Hivi mnamjua sawasawa Elikael Mbowe nyie bavicha, mmesubiri awekwe korokoroni ndiyo mnaanza mapinduzi.Lissu kapewa na nani kibali cha kubeba kijiti badala ya Edo.Mnaota ndoto za mchana, yaani Edo kawekeza kiasi hicho halafu mpiga debe apeperushe bendera. Bavicha you are not serious
Wawekezaji wako CCM,CHADEMA hakuna wawekezaji.
 
Kwa kuzingatia sifa kuu mbili tu muhimu Zitto ni zaidi ya Lissu kwa nafasi ya Urais Upinzani. Sifa zangu mbili ni

1. Ukomavu wa kisiasa
Zitto amekomaa kisiasa kuliko Lissu. Zitto amekabiliwa na misukosuko mingi ya kisiasa na amevuka yote.

2. Exposure (Kujua na kujulikana)
Zitto anajua mambo mengi sana. Anajulikana sana kitaifa na kimataifa. Ana network kubwa sana duniani na ndani ya Tanzania. Zitto ana deserve kuwa Rais na atamudu zaidi kuliko Lissu.

Lissu achukue Uenyekiti wa Chadema kwanza ndio awaze Urais
MADAM BENSON UNAHANGAIKA SANA KUFANYA SABOTAGE YA BIG FIGURE KAMA KUKU ANAYEHATAMIA MAYAI.
TULIA KIJANA
 
Hata jela haijui..kwani ashawahi hata kupelekwa mahakamani? Na kama kuna kesi...kumewahi kuwa na mwendelezo wowote?
Ila katika wapinzani wote Zito nadhani ndio anayeongoza kuibua hoja zenye mantiki kwa mwananchi wa kawaida,sasa najaribu kujiuliza kama ni mwanakitengo,yuko kwa malengo yepi .au ndo wanamuandaa kuwa Rais huko mbeleni,maswali ni mengi kuliko majibu.
 
Kim Jong Un
Laurent Kabila
Donald Trump
Hawa ukomavu wameupata wakiwa madarakani..
broo uzoefu alionao Lissu wa kuibwaga serikali ya CCM mahakamani mara kwa mara, ni dhahiri ni mkomavu wa kushughulikia mambo magumu zaidi..
Naona nawe pressure imekupanda mapema hata hajawasili.
 
Hatumhitaji tena Rais kichaa. Tumechoshwa na madudu anayofanya kila uchao. Lissu njoo uokoe jahazi 2020 tafadhali.
 
Kwa kuzingatia sifa kuu mbili tu muhimu Zitto ni zaidi ya Lissu kwa nafasi ya Urais Upinzani. Sifa zangu mbili ni

1. Ukomavu wa kisiasa
Zitto amekomaa kisiasa kuliko Lissu. Zitto amekabiliwa na misukosuko mingi ya kisiasa na amevuka yote.

2. Exposure (Kujua na kujulikana)
Zitto anajua mambo mengi sana. Anajulikana sana kitaifa na kimataifa. Ana network kubwa sana duniani na ndani ya Tanzania. Zitto ana deserve kuwa Rais na atamudu zaidi kuliko Lissu.

Lissu achukue Uenyekiti wa Chadema kwanza ndio awaze Urais
Umelogwa wewe, ungejua hakuna hata anaekuekewa ungeacha post zako za kijinga.
 
Kwa kuzingatia sifa kuu mbili tu muhimu Zitto ni zaidi ya Lissu kwa nafasi ya Urais Upinzani. Sifa zangu mbili ni

1. Ukomavu wa kisiasa
Zitto amekomaa kisiasa kuliko Lissu. Zitto amekabiliwa na misukosuko mingi ya kisiasa na amevuka yote.

2. Exposure (Kujua na kujulikana)
Zitto anajua mambo mengi sana. Anajulikana sana kitaifa na kimataifa. Ana network kubwa sana duniani na ndani ya Tanzania. Zitto ana deserve kuwa Rais na atamudu zaidi kuliko Lissu.

Lissu achukue Uenyekiti wa Chadema kwanza ndio awaze Urais
Siku hizi umekua m.b.u.m.b.u.m.b.u! Nini shida kijana?njaa ama...
Hivi kweli ulichoandika hapo ndo majibu kwanini lissu hawezi kuwa Rais ukilinganisha na zitto.
 
Siku niliposikia zito kukamata halafu viongozi wa chama chake wakasema kwamba amekuwa akihamishwa mahabusu hii mara ile, nikajua tayari sarakasi hizi.
 
Kwa Tume Huru ya Uchaguzi ushindi kwa Lissu hapo ni saa 2 asubuhi tu. Tutaomba na mdahalo wa KIINGEREZA ( na kiswahili) wa wagombea na moja ya maswali yangu kwa kila mshiriki kati ya hao wawili ni:

1. What is leadership? Based on the meaning of leadership, do you think you deserve to be a leader?
2. What is the meaning of development as per Abrahamu Lincolin? To what extent Tanzania adheres to the belief of this scholar?
3. What is the advantage of a country which observes Diplomacy links? How Tanzania is diplomatically linked? Who is the key individual to observe such a diplomacy in a given country? Does Tanzania have such an individual?
4. Is there any need for a country to have her own Constitution? Explain. Where do we get ideas for constitutional review? To what extent Tanzania has observed and honoured the process of making the Constitution?
5. Why do you think you are the right candidate for the position you are applying for?
No.5: not applying for but contesting to
 
Kwa upande wa ccm akisimama Membe na Upinzani akasimama Lissu naamini tutapata Tanzania mpya inayo jali na kuheshimu utu na misingi ya utawala bora.
FB_IMG_1545773227122.jpeg
FB_IMG_1543835313677.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakitumia udhaifu wa tume ya uchaguzi sidhani kama kutakuwa na kitakacho sababisha hao jamaa wapite. Na wakipita nitapenda kuona serikali ya mseto/sijui ndo ya umoja wa kitaifa ili tuandike historia mpya na kukata mizizi ya wanaodhani walizaliwa kutawala milele
 
So long mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi amechaguliwa na Rais then CCM lazima ishinde tu la sivyo yatakua maajabu ya 8 ya dunia.
 
Back
Top Bottom