Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Tundu Lissu hajajitangaza kuwa mgombea, aliulizwa swali na mwandishi ndiyo akajibu kuwa "kama" vikao vya chama vikimpitisha atakubali huo mzigo. Hivi suala la Membe mumelimaliza hadi mnafuatilia mambo ya Chadema? Membe kawajambisha kidogo tu mavi debe, KM naye kaingia kichwa kichwa matokeo yake kanywea, mtakoma safari hii, mpaka mnaenda kuiangukia Team mamvi, hakika mumekwama.
Bwashee Lowassa alipitishwa na nani 2015?!
 
Ninaelewa kuwa kabla ya kutangaza nia ya kugombea urais Lisu alishakutana na mh Mbowe na Nyalandu huko ubelgiji.

Ninakumbuka pia mwaka 2015 Mbowe akiwa peke yake angani alibadili gia na kumleta mzee Lowassa wa CCM pale Ufipa ili agombee urais.

Ndiposa najiuliza huyu Tundu Antipas Lisu ameshabarikiwa na Mbowe kugombea au amekurupuka tu?
Jumamosi njema!
tuanze kwanza na aliyetangulia kutangaza nia (yule Dr Kalokola wa CCM). jeee huyu amepata idhini ya JPM?

Kalokola amemwita kati JPM 2020, akina Membe wapo wapi?
 
Lissu akitamka neno jingine, JPM anaweza kuwalipa wakulima wa korosho wote kesho yake...
 
Si tu kuhurumiwa bali alitakiwa kuwa marehemu ila anachopanga binadamu Mungu anakiimarisha zaidi,ni suala la muda yote yatakuwa bayana

Mshaurini basi kuwa yeye ni mbunge, ni mnadhimu wa bunge kambi ya upinzani, yuko kwenye kamati za bunge, ni waziri kivuli wa sheria, ni kiongozi wa ngazi ya juu wa chama kikuu cha upinzani, ni Rais msaafu wa TLS etc.

Sasa hivi vyeo vyote alivitafuta ima kwa kushawishiwa au kwa utashi wake mwenyewe pengine ilikufikia malengo flani katika kutumikia wananchi na matamanio binafsi.

Ukweli ni huu yote haya yanaenda na wajibu muhimu wa Usalama wa Taifa hili. Kwa vyeo hivyo nilivyo vitaja ziko siri za nchi kazijua kutokana na vyeo hivyo na moja kwa moja siri hizo zinagusa maslahi mapana ya usalama wa taifa hili. Kwa hiyo yeyote anayofanya huko aliko asije akajikuta kageuku kuwa Snowden wa TZ, Kama alitaka majukumu haya ajue pia ana wajibu wa lazima kwa Taifa hili. Asifikiri atatathminiwa kama just anaother personal linapokuja suala la usalama na maslahi ya kiusalama ya Taifa hili. Haiwezekani akakutana na Wazungu hovyohovyo na haijulikani ana trade nini nao wakati inajulikana ziko siri za nchi anazijua kupitia nyadhifa zake hizi. Ushauri huu ni wa bure kwake toka huku kijiweni.
 
Kiongozi,uongozi ni dhamana inayo toka kwa wanao kuona na kukuthamini na kukupa madaraka ili Kuwatoa sehemu moja kwa imani yao wakitumai utawafikisha ama kuonesha dira wapi unapo wapeleka,ukijua ili japo ni dogo sana ila litakufanya kufikiri kwa upana zaidi kuliko sasa....
Taasisi Nyeti lazima iwe na watu wenye maono,ilo kijiweni mnalo ila hamtumii Mbinu hiii,
 
Kuna siri gani duniani wasiyojua mabeberu, wanajua mengi kuliko hata wwe ujuavo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ndoto kwani tuna mpango wa kuweka kiraka kwenye katiba ili JPM aendelee kuinyoosha nchi kwani ilikuwa imepinda sana .
 
Jimbo lake Singida huko kashindwa kuongoza,familia yake kashindwa mwache aropoke tu.
watoto wale wanaitaji kusoma wakili mkuu rais wa nini sijui,sio kuja kusalimu hospitali. Mke pia anahitaji huduma.
Bado ww unafkiria kuwa na mikiki ya siasa!
Waonee huruma waliokuzunguka
Mbona wakati alipigwa risasi hukuwahurumia hao uliowataja?
 
Kiongozi,uongozi ni dhamana inayo toka kwa wanao kuona na kukuthamini na kukupa madaraka ili Kuwatoa sehemu moja kwa imani yao wakitumai utawafikisha ama kuonesha dira wapi unapo wapeleka,ukijua ili japo ni dogo sana ila litakufanya kufikiri kwa upana zaidi kuliko sasa....
Taasisi Nyeti lazima iwe na watu wenye maono,ilo kijiweni mnalo ila hamtumii Mbinu hiii,

Iko taasisi nyeti iliyo hai katika utendaji wake ambayo haitaumiza kichwa na kufanya kila lililondani ya uwezo wake kujua jamaa ana Trade nini na mabeberu? Au fadhila za kutibiwa atalipia na nini? Lazima majibu hayo yaletwe mezani. Na yakisha letwa ndipo lije hitimisho tufanyeje?
 
Leo ni Tundu Lissu day, ilikuwa arejee, leo, japo hakurejea, tunamuadhimisha kwa kumtafakari kwa sababu

Leo siku ya tarehe 7/Sept. 2019 ni siku ya kumbukumbu ya miaka miwili toka Mh.Tundu Lisu aliposhambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana. Mpaka leo bado wasiojulikana hawa bado hawatajulikana na uchunguzi mkubwa, makini na mkali wa Jeshi letu adilifu la polisi, unaendelea kuwabaini wasiojulikana hawa, hivi sasa kuna mashuhuda wawili muhimu sana, wanasubiriwa wao tuu kuhojiwa ndipo taarifa rasmi ya polisi kuhusu maendeleo ya uchunguzi huu ndipo ilatolewa.

Tuvute subra.

Get well soon Mhe. Tundu Lissu and welcome back home.

P
 
Back
Top Bottom