johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bwashee Lowassa alipitishwa na nani 2015?!Tundu Lissu hajajitangaza kuwa mgombea, aliulizwa swali na mwandishi ndiyo akajibu kuwa "kama" vikao vya chama vikimpitisha atakubali huo mzigo. Hivi suala la Membe mumelimaliza hadi mnafuatilia mambo ya Chadema? Membe kawajambisha kidogo tu mavi debe, KM naye kaingia kichwa kichwa matokeo yake kanywea, mtakoma safari hii, mpaka mnaenda kuiangukia Team mamvi, hakika mumekwama.
tuanze kwanza na aliyetangulia kutangaza nia (yule Dr Kalokola wa CCM). jeee huyu amepata idhini ya JPM?Ninaelewa kuwa kabla ya kutangaza nia ya kugombea urais Lisu alishakutana na mh Mbowe na Nyalandu huko ubelgiji.
Ninakumbuka pia mwaka 2015 Mbowe akiwa peke yake angani alibadili gia na kumleta mzee Lowassa wa CCM pale Ufipa ili agombee urais.
Ndiposa najiuliza huyu Tundu Antipas Lisu ameshabarikiwa na Mbowe kugombea au amekurupuka tu?
Jumamosi njema!
Ufipa hela haitoki signatory yuko jela!
CCM hawabadilishi gia angani!tuanze kwanza na aliyetangulia kutangaza (Dr Kalokola). jeee huyu amepata idhini ya JPM?
Kalokola amemwita kati JPM 2020, akina Membe wapo wapi?
nani unayemjua aliyebadilisha gia angani?CCM hawabadilishi gia angani!
Si tu kuhurumiwa bali alitakiwa kuwa marehemu ila anachopanga binadamu Mungu anakiimarisha zaidi,ni suala la muda yote yatakuwa bayana
Naogopa kumutaja maana nitaishia jera
Kiongozi,uongozi ni dhamana inayo toka kwa wanao kuona na kukuthamini na kukupa madaraka ili Kuwatoa sehemu moja kwa imani yao wakitumai utawafikisha ama kuonesha dira wapi unapo wapeleka,ukijua ili japo ni dogo sana ila litakufanya kufikiri kwa upana zaidi kuliko sasa....Mshaurini basi kuwa yeye ni mbunge, ni mnadhimu wa bunge kambi ya upinzani, yuko kwenye kamati za bunge, ni waziri kivuli wa sheria, ni kiongozi wa ngazi ya juu wa chama kikuu cha upinzani, ni Rais msaafu wa TLS etc.
Sasa hivi vyeo vyote alivitafuta ima kwa kushawishiwa au kwa utashi wake mwenyewe pengine ilikufikia malengo flani katika kutumikia wananchi na matamanio binafsi.
Ukweli ni huu yote haya yanaenda na wajibu muhimu wa Usalama wa Taifa hili. Kwa vyeo hivyo nilivyo vitaja ziko siri za nchi kazijua kutokana na vyeo hivyo na moja kwa moja siri hizo zinagusa maslahi mapana ya usalama wa taifa hili. Kwa hiyo yeyote anayofanya huko aliko asije akajikuta kageuku kuwa Snowden wa TZ, Kama alitaka majukumu haya ajue pia ana wajibu wa lazima kwa Taifa hili. Asifikiri atatathminiwa kama just anaother personal linapokuja suala la usalama na maslahi ya kiusalama ya Taifa hili. Haiwezekani akakutana na Wazungu hovyohovyo na haijulikani ana trade nini nao wakati inajulikana ziko siri za nchi anazijua kupitia nyadhifa zake hizi. Ushauri huu ni wa bure kwake toka huku kijiweni.
Bwashee Lowassa alipitishwa na nani 2015?!
Kuna siri gani duniani wasiyojua mabeberu, wanajua mengi kuliko hata wwe ujuavoMshaurini basi kuwa yeye ni mbunge, ni mnadhimu wa bunge kambi ya upinzani, yuko kwenye kamati za bunge, ni waziri kivuli wa sheria, ni kiongozi wa ngazi ya juu wa chama kikuu cha upinzani, ni Rais msaafu wa TLS etc.
Sasa hivi vyeo vyote alivitafuta ima kwa kushawishiwa au kwa utashi wake mwenyewe pengine ilikufikia malengo flani katika kutumikia wananchi na matamanio binafsi.
Ukweli ni huu yote haya yanaenda na wajibu muhimu wa Usalama wa Taifa hili. Kwa vyeo hivyo nilivyo vitaja ziko siri za nchi kazijua kutokana na vyeo hivyo na moja kwa moja siri hizo zinagusa maslahi mapana ya usalama wa taifa hili. Kwa hiyo yeyote anayofanya huko aliko asije akajikuta kageuku kuwa Snowden wa TZ, Kama alitaka majukumu haya ajue pia ana wajibu wa lazima kwa Taifa hili. Asifikiri atatathminiwa kama just anaother personal linapokuja suala la usalama na maslahi ya kiusalama ya Taifa hili. Haiwezekani akakutana na Wazungu hovyohovyo na haijulikani ana trade nini nao wakati inajulikana ziko siri za nchi anazijua kupitia nyadhifa zake hizi. Ushauri huu ni wa bure kwake toka huku kijiweni.
Kuna siri gani duniani wasiyojua mabeberu, wanajua mengi kuliko hata wwe ujuavo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wakati alipigwa risasi hukuwahurumia hao uliowataja?Jimbo lake Singida huko kashindwa kuongoza,familia yake kashindwa mwache aropoke tu.
watoto wale wanaitaji kusoma wakili mkuu rais wa nini sijui,sio kuja kusalimu hospitali. Mke pia anahitaji huduma.
Bado ww unafkiria kuwa na mikiki ya siasa!
Waonee huruma waliokuzunguka
ya Lowassa yaachwe kama ya Lowassa na ya Lissu yaachwe kama ya Lissu.Lowassa alipata ridhaa ya wanachama?.......hapa najaribu kuwasaidia Ufipa msije mkamkimbiza Lisu kama ilivyokuwa kwa Dr Slaa!
Kiongozi,uongozi ni dhamana inayo toka kwa wanao kuona na kukuthamini na kukupa madaraka ili Kuwatoa sehemu moja kwa imani yao wakitumai utawafikisha ama kuonesha dira wapi unapo wapeleka,ukijua ili japo ni dogo sana ila litakufanya kufikiri kwa upana zaidi kuliko sasa....
Taasisi Nyeti lazima iwe na watu wenye maono,ilo kijiweni mnalo ila hamtumii Mbinu hiii,
Worry not MKuu,hao ni made in LumumbaSasa kama hujui hata kuandika neno Rais, napata wasiwasi hata uwezo wako wa kuchangia hapa jukwaani
Siku zote kabla hata hajapigwa risasi nimeongea,unapoishi dunia ya 3 jipange usilete kujua kwingi wanakumaliza.Mbona wakati alipigwa risasi hukuwahurumia hao uliowataja?
Kumpa adhabu ya kuwa chini ya uangalizi ndio kumbembeleza?Kubenea alisababisha mkaitisha vikao vya dharura kumbembeleza asihame
Leo ni Tundu Lissu day, ilikuwa arejee, leo, japo hakurejea, tunamuadhimisha kwa kumtafakari kwa sababu