Kapumpuli
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,040
- 2,674
Paskali!
Nimekuelewa Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Paskali!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ile pacemaker inalipuka sasa.
mwananchi wameishiwa kumbe
Lissu ni potential, ila sio muda wake huu
2025 can work better for him kama akiruhusiwa na kama wakianza siasa za mvuto na kuwa karibu na raia
Ndy Siasa hizi...Lissu aseme hivyo kirahisi rahisi bila ridhaa ya Chama chake!
Kwenye tume nakubaliana na wewe lkn kwenye barabara sio sawa, watanzania hawana akili ya kuangalia rekodi huwa wanaangalia upepo wa kipindi hicho.unanikumbusha mwanamke akizaa watoto wawili, wakati anazaa anajiapiza hazai tena!..ghafla mimba
hivi kwa TZ hii, tume hii, upinzani huu na record za JPM za barabara kila kona, Lissu anamtisha nani??
kama EL alifikia pale, record yake haiji kuvunjwa miaka ya karibuni
Lowasa kwwnza hawezi kukubali, pia yule mwenyekiti wa kudumu hawezi kukubali maana anajua atashugulikiwa sababu ndiye aliye piga pyupyu katundu kaliso. Huvyo msitegemee kama atagombea urahisi sio mrais kama anavyofikiria. Huyu jamaa hata ubalozi wa nyumba kumi hafai. Maana ubunge umemshinda kutwa kucha anawaza kuorganize maandamano hafanyi kazi ambazo wananchi walimtuma akaenda tls ndo kaiua kabisaaaaa, kile chama kimegeuka chama cha siasa, mnataka kuiweka rehani nchi kwa huyu chizi ili aiuze kwa wazungu, shame on you guys mnaosapoti TAL kuwa rahisi kirahisirahisi tu
Hakuiua TLS...TLS ipo na tunamuenzi kila siku iitwayo leo. Nyie watu wa Lumumba wa ajabu sana. Mnajazana ujinga tu, Afu umepata wapi mamlaka ya kuzungumzia TLS ilhali sio member??! Utakataa ila ndo ukweli. Huwezi kuwa member ukaongea huu upupu.Huyu kilaza kaiua TLS,hafai hata kuwa raisi wa WCB
Nazani safari hii Chadema wanasahihisha makosa yao.
Tuliwashauri kuwa unapokutana na mchina usiongee kiswahili wakati yeye anatema kichina, hamtoelewana.
Kuingia kwenye uchaguzi wakati mpinzani wako ndiye mmiliki wa tume pamoja na vyombo vya ulinzi alafu unategemea kushinda na kutangwaza mshindi, da! Huko ni kuota ndoto za mchana tena ukiwa unaogelea ndani ya swimming pool
Ndio, unapokutana na mchina wote walima muongee lugha moja ndipo mtaoelewana.
Kama wao wanamiliki vikosi vya ulinzi na nyie milikini vya kwenu, ( Rejea maamuzi ya bunge la Ulaya "TUTATOA MSAADA/ULINZI WOWOTE UTAKAO HITAJIKA KWA WAPIGANIA HAKI, WANAHARAKATI" )
Hiyo in fursa adimu wakati sahihi.
Kama wao wanamiliki tume ya uchaguzi basis na ninyi milikini ya kwenu, Rejea tamko la USA kupitia waziri wa mambo ya nje "2020 in lazima tusimamie/kuakikisha uchaguzi huru na wahaki unafanyika Tanzania"
Hapo jecha atakimbia.
Toka vyama vingi vianzishwe hakuna kipindi kizuri kwa wapinzani kama 2020 na hii ni kwasababu:-
1: Serekali ya awamu ya tano imefeli kwenye mambo ya kidiplomasia
2:Watumishi wengi wa uma na sekta binafsi wanalia hali ngumu na hawaoni matumaini
3: Ccm imewazarau wakongwe wao na kuwapa nafasi watu wasiokijua chama.
4:Watu wamenyimwa kuongea na vifuwa vyao vimejaa na watakapopata nafasi lazima waongee kwa ngumi,mateke nk.
5:..........
6:...........
7;...........
NB: Dhahabu iliyosafi ni lazima ipite kwenye tanuru la moto ndipo itang'aa. Taifa lazima litikisike ili likitulia tuwe na historia sahihi itakayotuongoza mbele na kuwafanya viongozi kujua nini gharama halisi ya uonevu.
Mwenye ufahamu na aelewe....
Kimenuka !Gazeti la Mwananchi linaripoti kuwa, Mbunge wa Singida, Mheshimiwa Tundu Lissu, ameweka wazi kuwa yupo tayari kugombea Urais 2020.
Mshipa kwa maeneo ya Pwani ni utajiri !Kama ni wa TLS sawa
Wa JMT mkuuWa TFF au marathoni ,mbona sielewi vizuri
Ndio hatumtakiHamumtaki Membe?
Utakuwa umetoka hukohuko kwa wanao ogopa siasa za hojaHuyu kilaza kaiua TLS,hafai hata kuwa raisi wa WCB
utaelewa tu relax usiwe na pupa. Naona albadiri inafanya kazi vizuri hadi mmesharukwa na akiliWa TFF au marathoni ,mbona sielewi vizuri
Lissu hawezi.kuwa rais wa TZ.Ukweli ni Mchungu lakini lazima tuseme
Magufuli anatengeneza Njia ya Nchi kuwa Ya kimataifa japo hajielewi.
AMINI AMINI NAWAAMBIA 2020-2025
Magufuli ataendelea kuongoza
na kipindi cha utawala wake wa awamu ya pili. atàfanya mengi na mazur sanaa compare na sasa