Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Chadema bwana
Juzi tu wanapiga kelele twende na Membe leo washamsahau wameanza na Lisu tena. Aliyewaita nyumbu aliwaza mbali sana
Lazima ukaze kama shipa eti eeh! Huyo Membe hangaikeni naye wenyewe na upande ule wana Lissu! Shida iko wapi?
 
Lissu hawezi.kuwa rais wa TZ.Ukweli ni Mchungu lakini lazima tuseme
Magufuli anatengeneza Njia ya Nchi kuwa Ya kimataifa japo hajielewi.
AMINI AMINI NAWAAMBIA 2020-2025
Magufuli ataendelea kuongoza
na kipindi cha utawala wake wa awamu ya pili. atàfanya mengi na mazur sanaa compare na sasa
Hapa ni kwa kuamua, lakini si kwa free & fair election [emoji850]
 
Magufuli hana ubavu hata wa kupambana na ABDUL NONDO.



Anachojua ni kutumia MIGUVU YA DOLA.

===================================
1545890493147.png
 
Ujinga! Ndiyo adabu uliyofundishwa kwenu? Ungekuwa unaweza kuutumia mkeo asingekuwa anagongwa nje huku akikukashifu na kumsifia hawara!
Hebu soma coment yako ya kwanza alafu uniambie kinachokukasirisha ni nini?
 
TANGAZO:
Kesho tarehe 24/10/2020 kutakuwa na mdahalo wa kitaifa wa kufunga kampeni katika ukumbi wa Nkurumah;
Wagombea wanaotarajiwa kuhudhuria;
J.P. Magufuli - CCM
T.A. Lissu - CHADEMA
H.R. Sipunda - CHAUMA
Z.R. Kabwe - ACT Wazalendo
NYOTE MNAKARIBISHWA.
Nasubiria hoja za First Contestant!!.
 
Mpambano utakua mkali sana, tunaomba iwe hivyo ili mshindi atakayepatikana ajue wa-Tanzania wana imani nae
 
Lissu aseme hivyo kirahisi rahisi bila ridhaa ya Chama chake!
Acha mamneno yako, ametangaza nia, hajazuia wagombea wengine kutangaza nia zao, hata Mhe. Magufuli aliisha tangaza nia hata kabla chama chake hakijamteua. Kinachowaogopesha, ni ile nguvu ya MUNGU aliyonayo Mpakwa mafuta Lissu. Asingekuwa amepakwa mafuta, hakika asingefufuka katika kifo kilichokuwa kimemtokea.
 
Back
Top Bottom