Nazani safari hii Chadema wanasahihisha makosa yao.
Tuliwashauri kuwa unapokutana na mchina usiongee kiswahili wakati yeye anatema kichina, hamtoelewana.
Kuingia kwenye uchaguzi wakati mpinzani wako ndiye mmiliki wa tume pamoja na vyombo vya ulinzi alafu unategemea kushinda na kutangwaza mshindi, da! Huko ni kuota ndoto za mchana tena ukiwa unaogelea ndani ya swimming pool
Ndio, unapokutana na mchina wote walima muongee lugha moja ndipo mtaoelewana.
Kama wao wanamiliki vikosi vya ulinzi na nyie milikini vya kwenu, ( Rejea maamuzi ya bunge la Ulaya "TUTATOA MSAADA/ULINZI WOWOTE UTAKAO HITAJIKA KWA WAPIGANIA HAKI, WANAHARAKATI" )
Hiyo in fursa adimu wakati sahihi.
Kama wao wanamiliki tume ya uchaguzi basis na ninyi milikini ya kwenu, Rejea tamko la USA kupitia waziri wa mambo ya nje "2020 in lazima tusimamie/kuakikisha uchaguzi huru na wahaki unafanyika Tanzania"
Hapo jecha atakimbia.
Toka vyama vingi vianzishwe hakuna kipindi kizuri kwa wapinzani kama 2020 na hii ni kwasababu:-
1: Serekali ya awamu ya tano imefeli kwenye mambo ya kidiplomasia
2:Watumishi wengi wa uma na sekta binafsi wanalia hali ngumu na hawaoni matumaini
3: Ccm imewazarau wakongwe wao na kuwapa nafasi watu wasiokijua chama.
4:Watu wamenyimwa kuongea na vifuwa vyao vimejaa na watakapopata nafasi lazima waongee kwa ngumi,mateke nk.
5:..........
6:...........
7;...........
NB: Dhahabu iliyosafi ni lazima ipite kwenye tanuru la moto ndipo itang'aa. Taifa lazima litikisike ili likitulia tuwe na historia sahihi itakayotuongoza mbele na kuwafanya viongozi kujua nini gharama halisi ya uonevu.
Mwenye ufahamu na aelewe....