Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Soma tena ulichoandika, ni kama mtoto mdogo anajifunza kuandika yani hamna mpangilio mzuri wa maneno wenye kuleta mantiki, hapa JF siyo sehemu yako rudi facebook.
Soma rudia mara 10 utaelewa ,akili yako bado mbovu tu na usikute We ni Baba wa familia
 
Mimi namtakia kila la hero apone arudi nyumbani tujenge taifa. Kwa atagombea au la ni suala la wakati na wakati haujafika.
 
Hii taarifa italeta mtikisiko mkubwa wa dunia.......

Wajiandae wale wa upande wa pili, kama ni kuwakodi wale "snipers" wao, safarii hii inabidi muwakodi "professionals" zaidi, waje na risasi zaidi ya 100...........

Lakini hazitafua dafu kwa kuwa ulinzi atakaopata huyo Tundu Lissu safari hii utakuwa ni wa kufa mtu!
 
Mimi namtakia kila la hero apone arudi nyumbani tujenge taifa. Kwa atagombea au la ni suala la wakati na wakati haujafika.
 
TANGAZO:
Kesho tarehe 24/10/2020 kutakuwa na mdahalo wa kitaifa wa kufunga kampeni katika ukumbi wa Nkurumah;
Wagombea wanaotarajiwa kuhudhuria;
J.P. Magufuli - CCM
T.A. Lissu - CHADEMA
H.R. Sipunda - CHAUMA
Z.R. Kabwe - ACT Wazalendo
NYOTE MNAKARIBISHWA.
 
Gazeti la Mwananchi linaripoti kuwa, Mbunge wa Singida, Mheshimiwa Tundu Lissu, ameweka wazi kuwa yupo tayari kugombea Urais 2020.
 
Attachments

  • LissuUrais.png
    LissuUrais.png
    46.5 KB · Views: 45
TANGAZO:
Kesho tarehe 24/10/2020 kutakuwa na mdahalo wa kitaifa wa kufunga kampeni katika ukumbi wa Nkurumah;
Wagombea wanaotarajiwa kuhudhuria;
J.P. Magufuli - CCM
T.A. Lissu - CHADEMA
H.R. Sipunda - CHAUMA
Z.R. Kabwe - ACT Wazalendo
NYOTE MNAKARIBISHWA.
Huyo wa pili hatakaa ahudhurie,labda aletwe akiwa kwenye jeneza!
 
Back
Top Bottom