Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Shida ni Tume Huru ya Uchaguzi na Polisi tu, vinginevyo isingekuwa shida kabisa.

Hata hivyo ni vizuri Mh Lissu, dunia itajua tumefikia tulipo na masaibu yetu; ikishuhudia ukitendwa tena kwa mara nyingine, safari hii ukipokonywa haki yako ya ushindi kwa mabavu.

WaTanzania tutakuwepo, na kama kawaida yetu, tutaona haki zetu pia zikipokonywa kwa kura zetu nyingi kwako zikiwa hazina thamani yoyote.
 
TANGAZO:
Kesho tarehe 24/10/2020 kutakuwa na mdahalo wa kitaifa wa kufunga kampeni katika ukumbi wa Nkurumah;
Wagombea wanaotarajiwa kuhudhuria;
J.P. Magufuli - CCM
T.A. Lissu - CHADEMA
H.R. Sipunda - CHAUMA
Z.R. Kabwe - ACT Wazalendo
NYOTE MNAKARIBISHWA.
Mi naamini hii kitu kitakuja kutokea 2020 October ila sitoshangaa kama Chadema hawata udhulia uo mdahalo.
 
Gazeti la Mwananchi linaripoti kuwa, Mbunge wa Singida, Mheshimiwa Tundu Lissu, ameweka wazi kuwa yupo tayari kugombea Urais 2020.

Kuna uzi mwingine wenye mada hiyohiyo ikinukuu gazeti hilihili. Mod unganisha tafadhali au futa moja.
 
Zitto ana mapungufu yake lakini namuona ni mzuri kias chake kwenye uongozi kuliko ata mpiga kelele Lissu! Lissu ni mpiga kelele tu lakini mweupe sana japo kwa wote simuoni wa kumshindanisha na Magufuli
 
Lowasa kwwnza hawezi kukubali, pia yule mwenyekiti wa kudumu hawezi kukubali maana anajua atashugulikiwa sababu ndiye aliye piga pyupyu katundu kaliso. Huvyo msitegemee kama atagombea urahisi sio mrais kama anavyofikiria. Huyu jamaa hata ubalozi wa nyumba kumi hafai. Maana ubunge umemshinda kutwa kucha anawaza kuorganize maandamano hafanyi kazi ambazo wananchi walimtuma akaenda tls ndo kaiua kabisaaaaa, kile chama kimegeuka chama cha siasa, mnataka kuiweka rehani nchi kwa huyu chizi ili aiuze kwa wazungu, shame on you guys mnaosapoti TAL kuwa rahisi kirahisirahisi tu
 
Mkimteua mjue magufuli rais mwenye akili kuliko wazungu mtakuwa mmemraisishia sana ushindi
 
"Nitaanza Ziara ya kuzunguka Ulaya, kuelezea kilichonitokea"~Lissu
Yale yalee ya Morgan Tsangilai[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Jimbo lake Singida huko kashindwa kuongoza,familia yake kashindwa mwache aropoke tu.
watoto wale wanaitaji kusoma wakili mkuu rais wa nini sijui,sio kuja kusalimu hospitali. Mke pia anahitaji huduma.
Bado ww unafkiria kuwa na mikiki ya siasa!
Waonee huruma waliokuzunguka
Mkuu wewe ndiye msemaji wa familia ya Tundu?
 
Kwa maoni yangu Mh. Tundu Lissu anafaa zaidi akifanya kazi ya Mwanasheria Mkuu wa serikali, DPP au waziri wa sheria na katiba. Urais ni mzuri lakini tutakosa kuona taste yake hasa ktk taaluma yake where it needed most. Mi napenda akisonga front ktk law battles na siyo administrative
 
Lowasa kwwnza hawezi kukubali, pia yule mwenyekiti wa kudumu hawezi kukubali maana anajua atashugulikiwa sababu ndiye aliye piga pyupyu katundu kaliso. Huvyo msitegemee kama atagombea urahisi sio mrais kama anavyofikiria. Huyu jamaa hata ubalozi wa nyumba kumi hafai. Maana ubunge umemshinda kutwa kucha anawaza kuorganize maandamano hafanyi kazi ambazo wananchi walimtuma akaenda tls ndo kaiua kabisaaaaa, kile chama kimegeuka chama cha siasa, mnataka kuiweka rehani nchi kwa huyu chizi ili aiuze kwa wazungu, shame on you guys mnaosapoti TAL kuwa rahisi kirahisirahisi tu
Tunajua ni jinsi gani mnahaha sasa na ndiyo maana mlipochungulia kwa sangoma wenu mkaona mje na mswada wa vyama vya siasa ili akichaguliwa kugombea msajili aseme huyo hafai.

Kwanza mswada wenu haupiti na Lisu ni chaguo la Mungu maana kila siku tunamwombea mema sio kama Jiwe anayelazimisha kuombewa.

Leo ni siku ngumu sana kwa Stone Jiwe
 
Kwa mziki wa Tundu Antipas Lissu haika hapa kama nchi tutasogea mbele.
1: Ana akili
2: Utashi wa kisiasa
3: Uwezo wakupambania matatizo yabwatu
4: Mtu asiye kubali kushinwa katika mambo anayoyaamini.
5: Mwenye kutokuogopa
6: Anaudhubutu wakufanya jambo
7: Upeo mkubwa wakusikiliza na kushauriwa
8: Asiye penda majivuno
9: Anayejali matatizo ya watu
Mwenye dhamira ya kweli na nchi yake .
 
Back
Top Bottom