Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

mwananchi wameishiwa kumbe

Lissu ni potential, ila sio muda wake huu

2025 can work better for him kama akiruhusiwa na kama wakianza siasa za mvuto na kuwa karibu na raia


Kupiga Jalamba 2020 kwa preparations za 2025 inaweza kuwa jambo jema.

Ila Lissu & co wafanye tu team na ZZK.
Waangalie siasa za Kenya.

TAML can fit better as PM au Spika wa Bunge la JMT but not as a president.
 
Lissu aseme hivyo kirahisi rahisi bila ridhaa ya Chama chake!
Ndy Siasa hizi...
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yawezekana Constitution yao inatoa ruksa kwa members!!

November alikuwa nae huko ughaibuni kabla ya kuelekea Segerea....
 
Kwenye tume nakubaliana na wewe lkn kwenye barabara sio sawa, watanzania hawana akili ya kuangalia rekodi huwa wanaangalia upepo wa kipindi hicho.
 


Mtu mzima kuropoka ni fedheha. Ebu iambie JF ni lini na wapi Lisu ali-organize maandamano katika nchi hii. Na ni maandamano gani hayo? Kuwa kama mwanaume Mkuu sio kuongea kama mtoto wa kike
 

Kula tano mwanangu. Nina dada yangu mrembo ndio kafikia umri wa kuolewa. Kama huna mke njoo beba bure, kama unaye weka mazingira ya wa pili au hata mchepuko basi. Nimeependa sana hapo wajue gharama za uonevu.
 
Hapo sasa ukweli unaanza kujidhihirisha
Mapema sana Lisu ungesubiri kidogo hao jamaa watakumalizia kabisa kikulacho kinguoni mwako.. umefufua vita yako upya na wabaya wako
 
Ashinde asishinde sisi tunataka Lissu asimame na Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…