Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mkuu kuwa na rais anayeongoza kikatiba ni vizuri pia ...siyo rais anayetumia katiba iliyo kwenye kichwa chake.Kwa maoni yangu Mh. Tundu Lissu anafaa zaidi akifanya kazi ya Mwanasheria Mkuu wa serikali, DPP au waziri wa sheria na katiba. Urais ni mzuri lakini tutakosa kuona taste yake hasa ktk taaluma yake where it needed most. Mi napenda akisonga front ktk law battles na siyo administrative
KabisaTunahitaji rais ataeheshimu utawala wa sheria na haki na usawa.
Atejali haki za wote bila upendeleo
Fikiria hilo
Kama Hata vichaa wanaweza kuongoza Tanzania kwanini Lissu awe kikwazo kwako? Hii nchi hata wewe mwenyewe unaweza kuiongoza tena inawezekana vizuri kuliko wengine maana haina katiba, katiba ni raisi!Tundu Lissu????,kweli Mimi sipo,acha tuumie hivohivo
pascal yule mandera wetu anasubiri xmass na mwaka mpya hata kubali kweli
Mbona aliyepo sasa hivi amebahatisha nafasi alionayo..na familia ni chaliJimbo lake Singida huko kashindwa kuongoza,familia yake kashindwa mwache aropoke tu.
watoto wale wanaitaji kusoma wakili mkuu rais wa nini sijui,sio kuja kusalimu hospitali. Mke pia anahitaji huduma.
Bado ww unafkiria kuwa na mikiki ya siasa!
Waonee huruma waliokuzunguka
Wewe endelea kuota tu, sie tunawaza namna ya kumuongeza muda baada ya miaka kumi nyie eti mnawaza half time!! Nyie endeleeni na matunguli ya zzk tu sie tuna munguHakuna vita
Strategy wanayotumia kwenda nayo opposition this time, si ya miaka na ya zama zile ya mazoea...
This time ni quite different, advanced one na ya kama tunagombana vile na ya kama tunawaunga mkono vile, kumbe ndiyo kilio chenu....
Ni mithiri ya gari moshi yenye injini mbili mbele na nyuma na zote zimewashwa na kuunguruma...
Hakuna tangazo linaloelekeza kuwa gari linaelekea wapi bali ajuaye ni dereva na control office pekee....
Hizi za kwako ni "traditional feelings" ama kwa kiswahili ni "hisia za utamaduni wa mazoea tu" na kwa kesi hii ni vyema sana CCM wakae mkao wa kufungasha virago....
Mtabaki na fikra hizihizi mwisho wa siku ni kama Makaburu wa Afrika ya Kusini na KANU ya Kenya ilivyofurumishwa mchana mchana kama wako ndotoni vile lakini kumbe ndiyo wanapotezwa hivyo!!
Mbona mnaweweseka?Na nini sasa?
Hayo makoti huko alipo hata mkimbizi anavaa bila kipato
chadema hawawez kumsimamisha lissu kuwa mgombea.Ashinde asishinde sisi tunataka Lissu asimame na Magufuli.
ahaa mkuu. uliona lini kiongozi wa Africa akatoka madarakan kwa sanduku la kura?!Hapa ni kwa kuamua, lakini si kwa free & fair election [emoji850]
Mkuu, kwa unavyowaza ingekuwa na viongozi wanawaza hivyo, ningediriki kusema, they have a dream to achieve.Hakuna vita
Strategy wanayotumia kwenda nayo opposition this time, si ya miaka na ya zama zile ya mazoea...
This time ni quite different, advanced one na ya kama tunagombana vile na ya kama tunawaunga mkono vile, kumbe ndiyo kilio chenu....
Ni mithiri ya gari moshi yenye injini mbili mbele na nyuma na zote zimewashwa na kuunguruma...
Hakuna tangazo linaloelekeza kuwa gari linaelekea wapi bali ajuaye ni dereva na control office pekee....
Hizi za kwako ni "traditional feelings" ama kwa kiswahili ni "hisia za utamaduni wa mazoea tu" na kwa kesi hii ni vyema sana CCM wakae mkao wa kufungasha virago....
Mtabaki na fikra hizihizi mwisho wa siku ni kama Makaburu wa Afrika ya Kusini na KANU ya Kenya ilivyofurumishwa mchana mchana kama wako ndotoni vile lakini kumbe ndiyo wanapotezwa hivyo!!
Wewe endelea kuota tu, sie tunawaza namna ya kumuongeza muda baada ya miaka kumi nyie eti mnawaza half time!! Nyie endeleeni na matunguli ya zzk tu sie tuna mungu
Anataka kuja kugombea urais wakati huohuo anataka kuzunguka Ulaya kuichafua nchi anayotaka kuongoza. Huu ni uendawazimu wa hali ya juu kabisa.