nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Divide and rule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
If the incumbent can..who else cant?
Kile wakoloni walichowafanyia babu zetu, kuwagawa ili wawatawale vizuriDivide and rule.
Kama Lissu anatosha kuwa mwenyekiti wa CHADEMA nafasi ya juu kabisa ya chama, basi anafaa kuwa Rais na anaweza kuwa Rais bora kushinda hata yule mwenye nafasi yake ambaye hajawahi kuongoza hata tawi la chama chake.binafsi namuunga mkono Lissu kuwa mwenyekiti
Taarifa zaidi zinadokeza kwamba uchaguzi huo huenda ukasimamiwa na Taasisi za nje , sasa hapo ndipo utasikia wagombea wa ccm wakijitoaNASUBIRI KUSIKIA UCHAGUZI 2020 'UNASOGEZWA MBELE' KWA MANUFAA YA UMMA. SIPATI PICHA LEO JIWE MAPIGO YA MOYO YANAENDAJE. TUTAOMBA NA MDAHALO UWEPO KWA WAGOMBEA WA URAIS. HAKUNA MTU KUINGIA MITINI.
Ombi : Utoaji mimba uruhusiwe ili kuwaepusha wazazi na aibu kama wazazi wa huyu kijana wanavyodhalilikaEndelea kuota huenda ukawa kama mbuyu.CCM ipo mamlakani si chini ya miaka 100 ijayo tena kwa ridhaa ya wananchi.Upinzani kwa Tanzania yetu bado sana.
Wewe huwezi ukaviona vigezo vya Lissu kuwa Rais na nguvu zake, Rais mstaafu mhe Kikwete na waliotaka kumuua wanavijua vigezo vyake pamoja na nguvu zake za kuwa Rais.Kwa kuzingatia sifa kuu mbili tu muhimu Zitto ni zaidi ya Lissu kwa nafasi ya Urais Upinzani. Sifa zangu mbili ni
1. Ukomavu wa kisiasa
Zitto amekomaa kisiasa kuliko Lissu. Zitto amekabiliwa na misukosuko mingi ya kisiasa na amevuka yote.
2. Exposure (Kujua na kujulikana)
Zitto anajua mambo mengi sana. Anajulikana sana kitaifa na kimataifa. Ana network kubwa sana duniani na ndani ya Tanzania. Zitto ana deserve kuwa Rais na atamudu zaidi kuliko Lissu.
Lissu achukue Uenyekiti wa Chadema kwanza ndio awaze Urais
Kwa kuzingatia sifa kuu mbili tu muhimu Zitto ni zaidi ya Lissu kwa nafasi ya Urais Upinzani. Sifa zangu mbili ni

katika nyakati kama hizi ambazo Magufuli anafanya siasa za kweli ni rahisi sana wapinzani kujipa matumaini labda watatangazwa wao washindi pasipo kushinda