Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

binafsi namuunga mkono Lissu kuwa mwenyekiti
Kama Lissu anatosha kuwa mwenyekiti wa CHADEMA nafasi ya juu kabisa ya chama, basi anafaa kuwa Rais na anaweza kuwa Rais bora kushinda hata yule mwenye nafasi yake ambaye hajawahi kuongoza hata tawi la chama chake.
 
NASUBIRI KUSIKIA UCHAGUZI 2020 'UNASOGEZWA MBELE' KWA MANUFAA YA UMMA. SIPATI PICHA LEO JIWE MAPIGO YA MOYO YANAENDAJE. TUTAOMBA NA MDAHALO UWEPO KWA WAGOMBEA WA URAIS. HAKUNA MTU KUINGIA MITINI.
Taarifa zaidi zinadokeza kwamba uchaguzi huo huenda ukasimamiwa na Taasisi za nje , sasa hapo ndipo utasikia wagombea wa ccm wakijitoa
 
Endelea kuota huenda ukawa kama mbuyu.CCM ipo mamlakani si chini ya miaka 100 ijayo tena kwa ridhaa ya wananchi.Upinzani kwa Tanzania yetu bado sana.
Ombi : Utoaji mimba uruhusiwe ili kuwaepusha wazazi na aibu kama wazazi wa huyu kijana wanavyodhalilika
 
Kwa kuzingatia sifa kuu mbili tu muhimu Zitto ni zaidi ya Lissu kwa nafasi ya Urais Upinzani. Sifa zangu mbili ni

1. Ukomavu wa kisiasa
Zitto amekomaa kisiasa kuliko Lissu. Zitto amekabiliwa na misukosuko mingi ya kisiasa na amevuka yote.

2. Exposure (Kujua na kujulikana)
Zitto anajua mambo mengi sana. Anajulikana sana kitaifa na kimataifa. Ana network kubwa sana duniani na ndani ya Tanzania. Zitto ana deserve kuwa Rais na atamudu zaidi kuliko Lissu.

Lissu achukue Uenyekiti wa Chadema kwanza ndio awaze Urais
Wewe huwezi ukaviona vigezo vya Lissu kuwa Rais na nguvu zake, Rais mstaafu mhe Kikwete na waliotaka kumuua wanavijua vigezo vyake pamoja na nguvu zake za kuwa Rais.
 
Kwa kuzingatia sifa kuu mbili tu muhimu Zitto ni zaidi ya Lissu kwa nafasi ya Urais Upinzani. Sifa zangu mbili ni

1. Ukomavu wa kisiasa
Zitto amekomaa kisiasa kuliko Lissu. Zitto amekabiliwa na misukosuko mingi ya kisiasa na amevuka yote.

2. Exposure (Kujua na kujulikana)
Zitto anajua mambo mengi sana. Anajulikana sana kitaifa na kimataifa. Ana network kubwa sana duniani na ndani ya Tanzania. Zitto ana deserve kuwa Rais na atamudu zaidi kuliko Lissu.

Lissu achukue Uenyekiti wa Chadema kwanza ndio awaze Urais

..mbona husemi hivyo kuhusu Jaji Brig.Generali Augustino Ramadhani vs Dr.John Magufuli?

..ukiweka mizani hiyo hiyo kwa upande wa ccm wako wanachama wengi wanamzidi JPM pamoja na kwamba amekuwa Raisi kwa miaka 3+.
 
Kwa kuzingatia sifa kuu mbili tu muhimu Zitto ni zaidi ya Lissu kwa nafasi ya Urais Upinzani. Sifa zangu mbili ni

1. Ukomavu wa kisiasa
Zitto amekomaa kisiasa kuliko Lissu. Zitto amekabiliwa na misukosuko mingi ya kisiasa na amevuka yote.

2. Exposure (Kujua na kujulikana)
Zitto anajua mambo mengi sana. Anajulikana sana kitaifa na kimataifa. Ana network kubwa sana duniani na ndani ya Tanzania. Zitto ana deserve kuwa Rais na atamudu zaidi kuliko Lissu.

Lissu achukue Uenyekiti wa Chadema kwanza ndio awaze Urais

Mbona Magufuri hajakomaa kisiasa, na hata baada ya kuwa mwenyekiti wa ccm ndio anakuwa mwanasiasa mbovu zaidi? Muoga wa siasa za upinzani kuliko wadada wanavyoogopa mende.

Na huko kujulikana Magufuri anajurikana wapi? ana network ipi? Ilimlazimu mpaka Jakaya ampeleke kumtambulisha kwa mabinti wa Bongo movie baada ya figisu za dodoma kwa namna asivyo na exposure.

alienda kwenye kikao cha siku nne canada lakini yeye anadai aliwahi kuishi canada.

Baada ya Nyerere, nchi hii haijawahi kupata rais ambaye ni mwenyekiti wa chama, zitto kaishapoteza nafasi yake kwa sheria hiyo.

wewe hauutaki urais? mbona urais wa tundu lissu unataka kukutoa roho?
 
katika nyakati kama hizi ambazo Magufuli anafanya siasa za kweli ni rahisi sana wapinzani kujipa matumaini labda watatangazwa wao washindi pasipo kushinda

Hakuna anayekataa kushindwa kwani huo ndio ushindani. Tunachotaka uhalali tu wa ushindi basi. Wananchi waachwe wachague na mshindi atangazwe wa halali. Iwe kama mechi ya Simba na Yanga, refarii hakuna kupendelea.
 
Asante raisi wa Tz 2020 Tundu Lissu, umeonesha upo kwa ajili ya watz, ukiweza kugombea hakuna wa kushindana na wewe
 
Back
Top Bottom