Tundu Lissu: Niliwahi kufanya kazi katika kampuni iliyokamata ndege ya Tanzania Uholanzi. Kauli hii inakupa hisia gani?

Tundu Lissu: Niliwahi kufanya kazi katika kampuni iliyokamata ndege ya Tanzania Uholanzi. Kauli hii inakupa hisia gani?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Tundu Antipas Mugwai Lissu, akichangia mada huko space Twitter, alieleza kwamba aliwahi kufanya kazi katika kampuni hiyo akiwa kama mshauri wa masuala ya ardhi.

Kauli hii inaleta ukakasi kidogo. May be kuna Watanzania wenzetu wanaotarajiwa kuwa viongozi, lakini wakati mwingine wanauza mechi kwa mabeberu.

#MakuwadiWaSokoHuria

Wanalia nchi inauzwa, kumbe wao ndio makuwadi
 
Hiyo kauli inaonesha vile anajua mambo ya sheria za kimataifa yanavyoendeshwa, ana experience, hakuna kingine zaidi ya hicho, muhimu kwenu akiwaambia fanyeni hiki na kile msifanye, mjifunze kusikiliza ushauri wake, upinzani sio uadui, mtaliepusha taifa na hasara zisizo za lazima.
 
Agreements zipo kisheria na hakunaga uzalendo wa kuvunja mikataba bila kufuata sheria halaf unataka watu wawe wazalendo!

Waliopaswa kua wazalendo ni wale waliovunja mikataba ili wasiliingize Taifa kweny migogoro ya madai!! Tuwe wakweli tuache unafiki na siasa, sheria na mikataba havihitaji siasa unatakiwa unyooke kama rula.
 
Back
Top Bottom