Tundu Lissu: Nilizungumza na Mbowe baada ya matokeo kutangazwa baada ya hapo hatujazungumza tena

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amezungumza na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe baada ya matokeo kutangazwa.

Pia soma Pre GE2025 - Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Tulizungumza (Yeye na Freeman Mbowe) baada ya matokeo kutangazwa na muda wote mpaka tukaenda kwenye kikao na akazungumza baada ya hapo hatujazungumza tena na hatujazungumza kwa sababu nzuri tu. Tunahitaji kupumzika yeye (Mbowe) na mimi sote tunahitaji kupumzika

images (1).jpeg
 
Acheni kukuza maneno
 
Lissu kuna namna roho inamuuma akiwa anavizia ushindi alitumia siraha kali za maneno yaliyoacha vidonda visivyotibika kwa Mbowe.waliuonesha ulimwengu kuwa mbowe ni nobody kimsingi walimvua nguo pale posta mpya kwenye mnara wa askari
Na hapo ndio akili zinaanza kumrudia,sio ajabu wameshindwa kununua luku ya ofisi🤔😳Mbowe alitumia hekima sana kwenye ile hotuba halafu jamaa ndio anaonyesha anampenda baada ya kumponda na kumkejeli
 
1737742803493.jpg
 
Walah akimsusia chama hio October tuombe kudra za Mungu tu.
Vijana wenye balehe wanampoteza sana Huyu mnyampaa…. Pesa ndo kila kitu kwenye siasa na sioni hao anaoita wanachama atakaa nao kuchangia mfululizo…. Million 107 ya rudhuku kwa mwezi kwenye siasa ni utani aisee…. Hawa watu wanafanya mchezo sana!!

Nature ya watanzania inajulikana Lissu atajutia sana huu ujuaji wake.
 
Il
Lissu kuna namna roho inamuuma akiwa anavizia ushindi alitumia siraha kali za maneno yaliyoacha vidonda visivyotibika kwa Mbowe.waliuonesha ulimwengu kuwa mbowe ni nobody kimsingi walimvua nguo pale posta mpya kwenye mnara wa askari
Ila to be honest huyu jamaa atakuja awe Rais
 
Vijana wenye balehe wanampoteza sana Huyu mnyampaa…. Pesa ndo kila kitu kwenye siasa na sioni hao anaoita wanachama atakaa nao kuchangia mfululizo…. Million 107 ya rudhuku kwa mwezi kwenye siasa ni utani aisee…. Hawa watu wanafanya mchezo sana!!

Nature ya watanzania inajulikana Lissu atajutia sana huu ujuaji wake.
Yetu macho.
Sisi tulio toka na chadema kipindi kile 2005 tunafafamu ari na mwamko walio kuwa nao watu wengi dhidi ya chadema ambao kwa sasa haupo tena ,ingawa sio kwa chadema pekee.
Sasa mwenyekiti kama hana connection za kutosha kidogo itamsumbua, na vile alivyo mponda mtangulizi wake sidhani kama hata huyo mtangulizi atasumbuka sana kuona chama kia elekea mrama.
 
Mwenyekiti amechukua japo kwa ushindi kiduuchu sana. Sasa hakuna tena la kuzungumzika, labda only handing over.
 
Yetu macho.
Sisi tulio toka na chadema kipindi kile 2005 tunafafamu ari na mwamko walio kuwa nao watu wengi dhidi ya chadema ambao kwa sasa haupo tena ,ingawa sio kwa chadema pekee.
Sasa mwenyekiti kama hana connection za kutosha kidogo itamsumbua, na vile alivyo mponda mtangulizi wake sidhani kama hata huyo mtangulizi atasumbuka sana kuona chama kia elekea mrama.
Lissu ana utoto mwingi sana!! Na kazungukwa na vijana wa balehe!!
 
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuhusu kuzungumza na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe baada ya matokeo kutangazwa.

"Tulizungumza (Yeye na Freeman Mbowe) baada ya matokeo kutangazwa na muda wote mpaka tukaenda kwenye kikao na akazungumza baada ya hapo hatujazungumza tena na hatujazungumza kwa sababu nzuri tu. Tunahitaji kupumzika yeye (Mbowe) na mimi sote tunahitaji kupumzika..."
 
Na hapo ndio akili zinaanza kumrudia,sio ajabu wameshindwa kununua luku ya ofisi🤔😳Mbowe alitumia hekima sana kwenye ile hotuba halafu jamaa ndio anaonyesha anampenda baada ya kumponda na kumkejeli
Wao ccm pesa zao wanaiba BoT ruzuku ya mabilioni haiwatoshi!?
 
Back
Top Bottom