Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Acheni kukuza manenoMwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amezungumza na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe baada ya matokeo kutangazwa.
Pia soma Pre GE2025 - Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi
Tulizungumza (Yeye na Freeman Mbowe) baada ya matokeo kutangazwa na muda wote mpaka tukaenda kwenye kikao na akazungumza baada ya hapo hatujazungumza tena na hatujazungumza kwa sababu nzuri tu. Tunahitaji kupumzika yeye (Mbowe) na mimi sote tunahitaji kupumzika
Na hapo ndio akili zinaanza kumrudia,sio ajabu wameshindwa kununua luku ya ofisi🤔😳Mbowe alitumia hekima sana kwenye ile hotuba halafu jamaa ndio anaonyesha anampenda baada ya kumponda na kumkejeliLissu kuna namna roho inamuuma akiwa anavizia ushindi alitumia siraha kali za maneno yaliyoacha vidonda visivyotibika kwa Mbowe.waliuonesha ulimwengu kuwa mbowe ni nobody kimsingi walimvua nguo pale posta mpya kwenye mnara wa askari
Mama sijui nae yupo hapa?
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amezungumza na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe baada ya matokeo kutangazwa.
Pia soma Pre GE2025 - Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi
Tulizungumza (Yeye na Freeman Mbowe) baada ya matokeo kutangazwa na muda wote mpaka tukaenda kwenye kikao na akazungumza baada ya hapo hatujazungumza tena na hatujazungumza kwa sababu nzuri tu. Tunahitaji kupumzika yeye (Mbowe) na mimi sote tunahitaji kupumzika
Vijana wenye balehe wanampoteza sana Huyu mnyampaa…. Pesa ndo kila kitu kwenye siasa na sioni hao anaoita wanachama atakaa nao kuchangia mfululizo…. Million 107 ya rudhuku kwa mwezi kwenye siasa ni utani aisee…. Hawa watu wanafanya mchezo sana!!Walah akimsusia chama hio October tuombe kudra za Mungu tu.
Ila to be honest huyu jamaa atakuja awe RaisLissu kuna namna roho inamuuma akiwa anavizia ushindi alitumia siraha kali za maneno yaliyoacha vidonda visivyotibika kwa Mbowe.waliuonesha ulimwengu kuwa mbowe ni nobody kimsingi walimvua nguo pale posta mpya kwenye mnara wa askari
Yetu macho.Vijana wenye balehe wanampoteza sana Huyu mnyampaa…. Pesa ndo kila kitu kwenye siasa na sioni hao anaoita wanachama atakaa nao kuchangia mfululizo…. Million 107 ya rudhuku kwa mwezi kwenye siasa ni utani aisee…. Hawa watu wanafanya mchezo sana!!
Nature ya watanzania inajulikana Lissu atajutia sana huu ujuaji wake.
Lissu ana utoto mwingi sana!! Na kazungukwa na vijana wa balehe!!Yetu macho.
Sisi tulio toka na chadema kipindi kile 2005 tunafafamu ari na mwamko walio kuwa nao watu wengi dhidi ya chadema ambao kwa sasa haupo tena ,ingawa sio kwa chadema pekee.
Sasa mwenyekiti kama hana connection za kutosha kidogo itamsumbua, na vile alivyo mponda mtangulizi wake sidhani kama hata huyo mtangulizi atasumbuka sana kuona chama kia elekea mrama.
Mna akili ndogo sana.Walah akimsusia chama hio October tuombe kudra za Mungu tu.
Lichama life tu ingawa mashabiki wa Mbowe tumekubali matokeo kwa shingo uopande!Walah akimsusia chama hio October tuombe kudra za Mungu tu.
Wao ccm pesa zao wanaiba BoT ruzuku ya mabilioni haiwatoshi!?Na hapo ndio akili zinaanza kumrudia,sio ajabu wameshindwa kununua luku ya ofisi🤔😳Mbowe alitumia hekima sana kwenye ile hotuba halafu jamaa ndio anaonyesha anampenda baada ya kumponda na kumkejeli