Ndo kama karata ya JPM aliyokuaga anataka kuicheza......na kwa sasa akitaka aende vizuri asigusie kabisa mambo ya JPMLissu kuna namna roho inamuuma akiwa anavizia ushindi alitumia siraha kali za maneno yaliyoacha vidonda visivyotibika kwa Mbowe.waliuonesha ulimwengu kuwa mbowe ni nobody kimsingi walimvua nguo pale posta mpya kwenye mnara wa askari
Naona wachagga mmeumia sana, kwamba chama kimtegemee Mbowe? Chadema huku wilayani na majimbo mbona hatuna ruzuku na tumejenga ofisi na kuchangishana hela za kampeni.Yetu macho.
Sisi tulio toka na chadema kipindi kile 2005 tunafafamu ari na mwamko walio kuwa nao watu wengi dhidi ya chadema ambao kwa sasa haupo tena ,ingawa sio kwa chadema pekee.
Sasa mwenyekiti kama hana connection za kutosha kidogo itamsumbua, na vile alivyo mponda mtangulizi wake sidhani kama hata huyo mtangulizi atasumbuka sana kuona chama kia elekea mrama.
ShaurinyakoMama sijui nae yupo hapa?
Nauliza tu na kuuliza si ujinga.