GE2025 Tundu Lissu: Nimechoka na ombi la ahirisho mara kwa mara, niko gerezani leo siku ya 97

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, Tundu Lissu, amesema "Leo ni siku ya 97 niko Mahabusu na wafungwa waliohukumiwa Kifo nimechoka na hizi habari" wakati akijitetea mwenyewe kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili muda mfupi baada ya Mawakili upande wa Jamhuri walipoomba ahirisho la kesi hiyo, kutokana na kuwa wamepeleka maombi ya baadhi ya utambuzi wa mashahidi kufichwa, kwa sababu za kiusalama.

Upande wa Jamhuri ukiongozwa na Wakili Mkuu Nassoro Katuga umeiambia Mahakama kwamba ushahidi wa shauri hilo umekamilika na mara baada ya ofisi ya DPP kujiridhisha na ushahidi, kesi hiyo imepelekwa Mahakama Kuu.

Hata hivyo kabla ya shauri hilo kuanza Mahakama Kuu, Jamhuri umepeleka maombi ya kuficha utambuzi wa baadhi ya mashahidi katika kesi hiyo.

Lissu amepinga maombi hayo na sasa anaendelea kujitetea mwenyewe mbele ya Mahakama.

ATANYOOKA TU ANAFIKIRI KUJUWA SHERIA NDIYO KUTOKA JELA ATAITA MAJI MMA MWAKA HUU ALIJUWA HUMO NI KUINGI ANA KUTOKA KIRAHISI KWAKUWA ANAJUWA SHERIA
Bibi yako kizmkz ananyooshwa ile mbaya wote wamemkimbia na pango katikati ya miguu linachurizika maji ya njano! tu!! Tena Humphrey kamuumbua tena yallah toba!! Atakaa kwenye moon hadi damu imwishie!!
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, Tundu Lissu, amesema "Leo ni siku ya 97 niko Mahabusu na wafungwa waliohukumiwa Kifo nimechoka na hizi habari" wakati akijitetea mwenyewe kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili muda mfupi baada ya Mawakili upande wa Jamhuri walipoomba ahirisho la kesi hiyo, kutokana na kuwa wamepeleka maombi ya baadhi ya utambuzi wa mashahidi kufichwa, kwa sababu za kiusalama.

Upande wa Jamhuri ukiongozwa na Wakili Mkuu Nassoro Katuga umeiambia Mahakama kwamba ushahidi wa shauri hilo umekamilika na mara baada ya ofisi ya DPP kujiridhisha na ushahidi, kesi hiyo imepelekwa Mahakama Kuu.

Hata hivyo kabla ya shauri hilo kuanza Mahakama Kuu, Jamhuri umepeleka maombi ya kuficha utambuzi wa baadhi ya mashahidi katika kesi hiyo.

Lissu amepinga maombi hayo na sasa anaendelea kujitetea mwenyewe mbele ya Mahakama.

Usikute freeman mbowe ni mmoja wa hao mashahidi wanaotakiwa kufichwa.
 
ATANYOOKA TU ANAFIKIRI KUJUWA SHERIA NDIYO KUTOKA JELA ATAITA MAJI MMA MWAKA HUU ALIJUWA HUMO NI KUINGI ANA KUTOKA KIRAHISI KWAKUWA ANAJUWA SHERIA
Ni kweli maana hapa kwetu sheria ni nyenzo za kukomoa wapinzani.
 
Sasa shahidi akifichwa,vipi maswali yataulizwaje na kujibiwa na nani
 
Ujuaji wa sheria wafaa sana kwenye nchi inayoheshimu sheria.
Mungu aingilie na kuamua kwa haki.
 
ATANYOOKA TU ANAFIKIRI KUJUWA SHERIA NDIYO KUTOKA JELA ATAITA MAJI MMA MWAKA HUU ALIJUWA HUMO NI KUINGI ANA KUTOKA KIRAHISI KWAKUWA ANAJUWA SHERIA
Imekuongezea nini kwenye maisha yako ww na familia yako sasa zaidi ya roho ya kifala uliyobeba
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, Tundu Lissu, amesema "Leo ni siku ya 97 niko Mahabusu na wafungwa waliohukumiwa Kifo nimechoka na hizi habari" wakati akijitetea mwenyewe kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili muda mfupi baada ya Mawakili upande wa Jamhuri walipoomba ahirisho la kesi hiyo, kutokana na kuwa wamepeleka maombi ya baadhi ya utambuzi wa mashahidi kufichwa, kwa sababu za kiusalama.

Upande wa Jamhuri ukiongozwa na Wakili Mkuu Nassoro Katuga umeiambia Mahakama kwamba ushahidi wa shauri hilo umekamilika na mara baada ya ofisi ya DPP kujiridhisha na ushahidi, kesi hiyo imepelekwa Mahakama Kuu.

Hata hivyo kabla ya shauri hilo kuanza Mahakama Kuu, Jamhuri umepeleka maombi ya kuficha utambuzi wa baadhi ya mashahidi katika kesi hiyo.

Lissu amepinga maombi hayo na sasa anaendelea kujitetea mwenyewe mbele ya Mahakama.

Huyu jamaa wanamtesa bure tu.
 
Back
Top Bottom