Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nimepokea vitisho vya kuuawa. Wanachama wawasindikize wagombea Ubunge na Udiwani kuchukua fomu NEC

jifunze kuandika kwanza mkuu,
 
Hivi mkuu hujui miezi hiyo Trump naye atakuwa anapulia mashine kwenye uchaguzi wake. Halafu wewe unalala ukiamini Trump kaacha kuwaza uchaguzi wao na Corona, anawaza uchaguzi wako. Mwenyewe anaita shit hole nini sijui. Kila mtu ajipange kushinda mechi zake ila kweli sala muhimu.
 
Mmmm acha kutishia nyau wewe wanapambana na corona Yao wakija tuwaambukiza Corona tu waipeleke kwao.Lisu keshawaambia Kuna Corona usitarajie waje
 
Utaratibu umeanza kufahamika miaka hii ya Magufuli? Unaongea utoto gani boss?
Kila kipindi cha uchaguzi kunatolewa "taratibu za uchaguzi". Hulijui hilo dogo? Mbona viongozi wako walihudhuria kikao cha maelekezo? Hawakuwaambia?
 
 
Nadhani ni mgonjwa wa akili
 
Kumbe kweli kulikua na makosa ya ujazaji form kwa wenyeviti ila mkataka kuiaminisha dunia kwamba mnakatwa kwa kuwa mnaonewa! Nyie watu ni wachonganishi sana
 
Ana amasisha uvunjifu wa sheria

Nadhani una maana ya "anahamasisha watu wajunje sheria", au siyo?

Bado swali liko palepale, HOW?

Labda kiingereza kinaweza kukupa shida, ngoja niseme kwa kiswahili;

Ni kwa vipi amehamasisha watu kuvunja sheria hapo?
 
Nadhani una maana ya "anahamasisha watu wajunje sheria", au siyo?

Bado swali liko palepale, HOW?

Labda kiingereza kinaweza kukupa shida, ngoja niseme kwa kiswahili;

Ni kwa vipi amehamasisha watu kuvunja sheria hapo?
Define sedition?

Better still go read chapter VII of Tanzania penal code.

Don’t waste people’s time with stupid questions.
 
Kitaturu unaitendea haki taaluma ya habari.
 
Ni kweli kuna watu wanajipa moyo kwa kuwa wanamiliki mabomu na vidunguaji. Lakini wanajiuliza Lissu anapata nguvu wapi?? Kuna wakati hata naogopa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…