Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nimepokea vitisho vya kuuawa. Wanachama wawasindikize wagombea Ubunge na Udiwani kuchukua fomu NEC

Hiyo mipango yenu hamtokaa mfanikiwe kamwe, tutasimama imara na taifa letu na viongozi wetu wazalendo, Na hakitoka magufuli tunaingiza chuma kingine mwendo ni huu huu kuiletea nchi maendeleo na kulinda watu wetu na hila za watu kama wewe na lisu.
Ofcourse yes, ila God husimama na wenye haki. Like baba Jesca. I believe in free and fair election as da principal of Greek democracy.
 
Kwahiyo anamaanisha kuwa Yale mapingamizi ya kwenye uchaguzi wa serikali ya mitaa yalikuwa sahihi...umesomeka .
 
Kwamba hawajafanya kitu chochote kwa miaka yote waliyokuwa madarakani. Unafiki ndio unaoimaliza hii nchi. Tupe mifano lisu kwa miaka yote aliyokaa singida kama mbunge amejenga hata kisima kimoja cha maji?
 
Mhmm haya maneno yanaweza kumnyima qualifications kutoka kwa NEC.
Napenda ateuliwe ndio maana nina wasiwasi.
 
Usirukie train kwa mbele. Soma comments zangu zote, utajua ninachomaanisha. Hili lilikuwa jibu sarcastic kwa mtu aliyesema kuwa "Wamuue Lisu ana nini?". Soma kwanza maana ya sarcasm ndio utanielewa. Najua humu JF tumechanganywa watu wenye ufahamu mbalimbali - wa chini, wa kati na wa juu. Wakati mwingine kuwasilina mwenye ufahamu wa juu na wa chini inakuwa tatizo. Wenye uwezo wa kuelewa wameweka "like" kwemye comment yangu.
Wakati wewe unalia ukichomwa sindano zahati...grow up uwe mwanaume
 
Ufahamu wako wa kula wali na njegere unajiona umeyapatia maisha alafu itakuwa mjini huna Xmass 15
 
Kilaza kwa kipare ni Kilatha
 
Wewe ni raia wa nchi gani? Hata lugha yetu ya Taifa mbona inaonekana huijui!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi ipo mwaka huu
 
Yes inawezekana maana miaka 5 walitufanya kama mizuka.
 
Mkuu najua roho inakuuma lakini huna cha kufanya tena. Vumilia hivyo hivyo ni zamu yako sasa kutokwa povu. Sisi tunachekelea.

He who loughs last loughs best.
 
Tundu hana akili. Musiba kawataja kabisa wanaooanga njama za kumlisha hiyo sumu. Na waliotajwa hakuna aliiyebishia tuhuma hizi. Tundu anataka IGP na mkuu wa usalama wamtafutie adui zake. Ni ujinga wa ajabu kama siyo upumbavu. Mbowe atakumaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…