Pre GE2025 Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama mtu akituma watu wakuue na bahati nzuri kwako ukanusurika utampenda huyo muuaji wako? Magufuli ni muuaji hastahili kuheshimiwa na mtu yoyote.
 
Waambiwe watu waje wakufyatulie risasi 16 - zikujeruhi na Nyingine ibaki mwilini Halafu tuone hiyo nguvu yako ya kuyaandika hayo utaipata wapi…
Usimchukie mtu Kwa Madhira ambayo hujayapitia…ingefaa Sana serikali imuombee msamaha huyu magufuli Kwa kutotimiza wajibu akiwa kiongozi wa nchi na kupelekea hati hati za kifo Kwa TAL.
 
Sijui kwanini naona kama Lissu atakimbia chi????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…