Tundu Lissu: Ninahofu kuhusu uchaguzi mkuu wa CHADEMA lakini dawa ni moja tu

Unampangia cha kusema?.
Kati ya Mbowe na Lissu nani mroho wa madaraka?.
Tumia hata akili zako kwa 1% basi.
 
HATAHAMA chama hicho na atabaki kuwa mwanachama wa kawaida wa CHADEMA.
Mtu mwongo sana hyu wala msimuamini hata kidogo.........wenye akili hawawezi kumwamini

Sikiliza unaweza kumwamini mtu kama huyu? This is a rubbish person!
 

Attachments

  • SINA MPANGO WA KUGOMBEA UENYEKITI LISU.mp4
    7.1 MB
Mbona Lissu ameishakubaliana na Mch. Msigwa kwamba akishindwa anaenda CCM? Hizi taarifa mbona sio ngeni Lumumba?
 
Unafikiri Kwa kutumia kichwa kipi?
 
Muongo huyo,
Amekuwa akiwapaka kila mtu asiyemuunga mkono yeye, atabaki chamani namna gani akishindwa?
Lisu yuko chadema ili kuridhisha tamaa yake ya uroho wa madaraka tu, asipoyapata atatimuka mara moja!
Uko sahihi
Kwa siasa za Tanzania kwa sasa hakuna mtu muongo kama Lisu

Akishindwa tu uchaguzi anahama Chadema huyo
 
Hakuna cha kunywa maji wala soda, huo ni ukweli mtupu tunasubiri utimilifu wake tu. Aliposema chadema siyo mama yake wewe unadhani alimaanisha nini, kama siyo kuwa mguu mmoja ndani na mguu mwingine nje?
Kwahiyo alivyosema hivyo wewe ukateseka?

Pole sana, hakuna cha ajabu kwenye siasa. Najua una mambo mengi ya kusubiri badala ya huo utimilifu wa jambo ambalo siasani hata si la ajabu kabisa.
 
Katika majaribu makubwa ambayo CDM imewahi kuyapitia, hili la uchaguzi wa M/Taifa ni mojawapo. Kwa kuwa limeshikilia mustakabali mpana wa chama hiki kwa siku zijazo.

Nafikiri Mwenyekiti anayemalizia muda anapaswa kujitathimini mwenyewe juu ya nia yake ya kuendelea kukishikilia cheo hicho. Ndiyo! Ameweka alama nyingi za kukumbukwa katika chama, lakini msanii bora hutambua vyema wakati sahihi wa kupanda na kushuka jukwaani.

CDM kweli imegawanyika, lakini inahitaji uongozi mpya ili kuleta hamasa mpya kwa wananchi. Maridhiano aliyoyafanya Mbowe yanaonekana hayaungwi mkono hata kidogo na wanachama wengi, na tena kuna hisia ya yeye kuhusishwa na pesa chafu kuingizwa katika mchakato wa uchaguzi unaoendelea hivi sasa.

Ili kulinda heshima yake kubwa aliyojijengea ndani na nje ya CDM kwa muda wa miaka zaidi ya 30, nafikiri ni muda sahihi kwa M/Kiti Mbowe kushuka jukwaani ili kumpisha mtu mwingine katika nafasi hiyo.

Atakuwa ameamua kutoka jukwaani kwa wakati uliostahili kama vile ambavyo alivyoingia kwa wakati stahili. Kutenda ni kuamua, na majuto ni mjukuu.

Beware!👆
 
Nilikuwa Kariakoo na sasa Arusha kila mtu anamtaka Lissu Mbowe ajitafakari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…