Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa

JUMONGS, SIO KWELI JUZI NILIWAAMBIA KUWA MTU ANAYEWEZA KUMSHAURI RAIS NA TUKAPATA MAFANIKIO SIO MWINGINE ILA TUNDU LISSU. LKN TATIZO LA MA-CCM MNAMUOGOPA TUNDU LISSU MNO!
 
Hakuna
We Mhaya hopeless and useless, stop ad homine arguments, stop arguing by character assassination. ametoa hoja jibu hoja. Matusi hayajibu hoja! Utaahira unatoka wapi?
Hakuna hoja za Msingi alizotoa zaidi ya takataka tupu!!
 
Wakati miswada ya kipuuzi ya madini ikipitishwa bungeni Mhe. Raisi Magufuli alikua mbunge if m keeping my records well hakuwahi kusimama kupinga..
ccm wanatupigisha mark time for >50 years of moving backward....Eti wanajifunza kwa makosa kila mwaka huku wakiumiza watz
 
Hana lolote huyo tumeshamzoea na maneno yake kama vuvuzela!
 
Nani kakwambia siasa ni uadui?kila kiongozi anaweza kubadili tabia kama amekusudia
Usitegemee mtu tabia yake eti abadilike, tena kama yeye ni mmojawapo kati hao je una imani kama asingefanya madudu. Asikudanganye mtu mwizi haachi wizi.
 
Toka lini tundu lisu anauzalendo wakati yye mwenyewe anamtetea ma mvi na richmond kwa kupewa kiduchu tyu na hana lolote
 
Lisu kaka ni msaka tonge tyu ww hukumbuki lowassaaa alimpigia kampeni fisadi kww miaka mingapi na akapiga kampeni ya kusafisha kwa tsh naga au madaraka gani
 
huyu ni chizi tuu aseme kama mikataba iliyo sainiwa ina halalisha kudanganya kiasi cha madini kilichomo ndani ya mchanga....
Tahira huyu
Takriban miongo miwili Lissu amekuwa akipinga wizi unaofanywa na wachimbaji
Mkapa na serikali ya mafisiemu wamemfungulia kesi lukuki kumtisha asizungumzie wizi huu
Leo anakuja kajambanani fulani anahoji uadilufu wa Lissu
Aliyesema 1/4 ya watanzania ni wendawazimu hakukosea
 
Ccm inajitekenya na kucheka yenyewe, inajamba na kunusa ushuzi wake.

Wabunge wa ccm walipitisha sheria hizi mbovu za uuaji kwa vifijo na vigelele na wakamwaga zege kwenye kaburi hilo la mikataba mibovu kuwa iwe Siri.

Leo mnafukua makaburi na kutuonyesha mifupa alafu mmetandika mikeka mnalia, mnataka tuwaonee huruma. Shame shame shame.

Tukubali watz tumeingizwa kwenye majanga makuu the same as dowans, samaki wa magu, jingine ni hili, kweli mchuma janga hula na nduguze, thx ccm.
 
Wewe labda utakua hujasoma alichoandika lissu au kama sivyo basi unajitia upofu wa makusudi. Lissu amekua very clear...kwamba hatuibiwi kwenye mchanga, tunaibiwa kwenye sheria. Recommendation yake ni clear kwamba tukarekebishe sheria yetu ya madini. Bila hivyo haya mambo ya michanga ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Yani! ku-deal na ccm inachosha sana... embu shauri ni jisi gani Lissu (practically) anaweza kutumia uanasheria wake kututoa kwenye hili, embu eleza ni steps gani Lissu anazotakiwa kufwata ili ccm iweze kumruhusu kutumia uanasheria wake kutuchomoa kwenye huu msala... Please fafanua ni nini anachotakiwa kufanya? Je ni bungeni? Inawezekana kwa Lissu kutumia uanasheria wake bungeni kuishauri serikali?

Kuhusu kuilaumu serikali... hivi ni analaumu, au anaongea ukweli ulivyo?
Hivi mtu unaanzaje kutafuta suluhisho la tatizo bila ku-point out chanzo cha tatizo na sababu zilizosabisha hilo tatizo?
 
Huwezi kubadilisha makosa bila kutubu na kutumikia hukumu.

CCM wamefanya hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…