chamilo nicolous
JF-Expert Member
- Mar 10, 2016
- 2,097
- 1,457
kweli mnaakili timamu hadi mmepa sumu heche, kisa anadai mabadiliko ndani ya chamaTunaongelea madini unamleta Lowasa, mkuu umetuonyesha waz kabsa kwamba huna akili timamu na hyo ndyo sifa ya wana CCM
Nakuuliza tena umemjua lissu lini?mbowe ndo mzalendo, hadi amempa heche sumu, kudai mabadiliko ya katiba ndani ya chama
Nadhani hujamuelewa Mh. Lisu, anachodai yeye ni kuwa tunaibiwa kwenye Mikataba na siyo kwenye Madini.Najiuliza sana swali dogo tu kila nikiona post ya Lisu kiufupi nasubiri apost kuwa amepima yeye au kashuhudia upimaji wa huo mchanga na kajiridhisha kuwa hatuibiwi,nitamuelewa sana,tofauti na hapo aendelee kusoma takwimu na historia kwenye makaratasi hadi pale atakapo ikomboa nchi kwa takwimu na sheria
Mahakamani kufanya nini?Na sasa wako wapi? Walishasema km MNA mashtaka nendeni mahakamani,mbona bado mnajizungusha?
Kwahiyo kwa sab hakupinga asipinge for good? Mbona swali rahisi tu.Utadhuiaje madhara wakati ulikuwa na utashi na akili kipindi unaridhia miswaada mibovu na kandamizi ya madini ipite,afadhari angeonekana wa maana kama kipindi hicho alikuwa anapinga tungemsifia kwa hilo leo hi unasimamisha bodi nzima wakati baba yao Mkapa unamuacha kisa tu anakinga ya rais
Shangaa na wewe, kwani majizi yote yakifukuzwa ccm yanapokelewa upinzani kama mashujaa😀Unasubiri mafisadi kuisha CCM mkuu? Unapoteza muda wako. Jiulize tangu magufuli aingie madarakani amewafukuza wangapi na bado anaendelea kila siku.lakini hawaishi. Jaribu kushangaa
kwa jicho la haraka unaweza ukaniona bashite,najua kuelewa zaidi ya kusoma,We bnafsi unaona anamsaidia nani!!? Nchi yake isiibiwe tena au ACACIA!!? kumbuka kuzidi kutufananulia mikataba ni sawa na kuwapa nguvu ACACIA tena yawezekana anawakumbusha point za kujitetea na kushinda pia,mwisho wa siku hasara ni kwetu wote na sio ACACIA,yeye ni wakili,cha msingi achague mteja,TANZANIA awe mzalendo au ACACIA awe msaliti kama CCM walivyotuingiza mkenge,uchama baadae hukoNadhani hujamuelewa Mh. Lisu, anachodai yeye ni kuwa tunaibiwa kwenye Mikataba na siyo kwenye Madini.
Kwa hii fact hata Mimi namuunga mkono. Inatubidi kujadili na kubadili Mikataba ya Madini siyo mchanga.
Mikataba itatuwezesha kuzuia mchanga
Tumwombe Mungu atusaiidie sana kwa AKILI kama yakoLissu tangu lini ulikuwa mzalendo! Uzalendo wa kutetea fisadi lowasa, au uchumia tumbo upi anausema zaidi ya huu wa kupewa kitu kidogo kumsafisha mtu aliye mchafua kwa miaka 10. Lissuu wadanganye vipofu wa vabichaa
maneno ya vijiwen hayokweli mnaakili timamu hadi mmepa sumu heche, kisa anadai mabadiliko ndani ya chama
For sure tume ime exagarate data yani kwa data zile Tz ni No1 world gold producer ,,,,Utafiti wa madini si sawa na kupima pH ktk maji!! Kuna uwezekano mkubwa kuwa tume imekosea sampling method &analysis teknology na wenda wakawa wametumia mannual analyisis ndo sababu hawataki kuweka report wazi!! Na tafiti za kitume siyo majibu kwa swala kama hili,,,,tunaitaji a number of research that will show precision or reproducability of the findings as creterion to have common understanding on matter! But already we have alot of research documents on the matter done in a neaty and smarty manner and unpressurized!Lissu tangu lini ulikuwa mzalendo! Uzalendo wa kutetea fisadi lowasa, au uchumia tumbo upi anausema zaidi ya huu wa kupewa kitu kidogo kumsafisha mtu aliye mchafua kwa miaka 10. Lissuu wadanganye vipofu wa vabichaa
Mkuu kumbuka pia hyu hyu aliwahi kumtaka kikwete atengue uteuzi wa muhongo leo analeta ngonjera zingine, siasa jambo moja la ajabu sanaHuyu ndiye mpiganaji wa ukweli sio yule mwingine anayetafuta kick kwa kufukuza mawaziri huku akijua tatizo lipo kwenye mikataba
Ni hyu pia alisema amemumiss kikwete,ni yeye tu alitaka muhongo atenguliwe enzi za mkwele,leo hii ni hyu hyu lissu amekerwa na utenguzi wa muhongoLissu tangu lini ulikuwa mzalendo! Uzalendo wa kutetea fisadi lowasa, au uchumia tumbo upi anausema zaidi ya huu wa kupewa kitu kidogo kumsafisha mtu aliye mchafua kwa miaka 10. Lissuu wadanganye vipofu wa vabichaa
Kwa akili yako maana ya mkataba mbovu unaelewaje? Na unipe madhara ya mkataba mbovu ili twende sawaKatika mkataba kati ya ACACIA na serikali ni wapi panaposema kuwa ACACIA wanaweza kutudanganya kiasi cha dhahabu kilichopo ndani ya mchanga wanaosafirisha?
Mikataba haina uhusiano wowote na WIZI uliobainishwa katika huu mchanga uliokamatwa.
Focus on the issue at hand. Ni kweli mikataba ni mibovu. Hata CEO wa ACACIA amekiri hilo. Lakini hili sakata la mchanga halikusababishwa na mkataba mbovu. Ni WIZI, period.
Matatizo ya kuelewa mambo kinyumenyume hata ulichokiandika hakielewekiNi hyu pia alisema amemumiss kikwete,ni yeye tu alitaka muhongo atenguliwe enzi za mkwele,leo hii ni hyu hyu lissu amekerwa na utenguzi wa muhongo
Siasa ni jambo la ajabu sana