Kusema mtu anawaza kama "nyumbu" ni tusi na sio fact kwamba haijawahi kuwa mwanasheria wao? Kwani alichokuwa anaongea hadharani kuwatete alikuwa anafanya hivyo kama Mwanasheria wao au mwanasiasa, naomba unieleweshe inawezekana in this instance Mimi nimefikiria au kuandika kama "nyumbu"
U ought to be ??? Wapi nimeandika kama alikuwa mwanasheria wao?,, au na wewe unaleta "utoto"Sasa Kama jibu unalo kwamba alikuwa Wakili, suala la siasa hapo linakujaje na tusi juu?
U ought to be ??? Wapi nimeandika kama alikuwa mwanasheria wao?,, au na wewe unaleta "utoto"
Umekuwa mwepesi wa kusahau sana. Tutakukumbusha kama utataka.
NasomaSijui kama bado unasoma huu utopolo wako.
Yaani kwa CCM yetu ni kama vile hakuna MAISHA nje ya madaraka. Mazoea mabaya kweli hayo. Yamevuruga hadi chaguzi zetu. Sasa wanataka vyote kabisa. Urais, Bunge na Halmashauri zote kabisa. Vijiji na mitaa walishachukua vyote.Naomba majibu ya hili swali hadi leo sijapata.
Kwanini Lissu alikiwa anawetetea sana Barrick na kutishia kwamba tutashitakiwa? Alikuwa na nia ya dhati kweli ama alikuwa anatetea ulaji wake tu? Ama ilikuwa sehemu ya siasa kwamba ukiwa upinzani lazima upinge kila jambo?
Nikijibiwa nikaelewa basi kura yangu kwake.
Wahujumu uchumi ambao nani aliwaleta? Nani alisaini mkataba? We ndo hujielewi hata kidogo.Unajielewa kweli ama umeamua kuandika tu. Kwa nini atake kuwakalisha wahujumu uchumi wakati yeye alikuwa muwakilishi wa wananchi tayari? Aliacha kazi za kibunge na kufanya za kilaghai?