Tundu Lissu njoo uokoe jahazi, kila pingamizi linakwama

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Fimbo ya mbali haiuwi nyoka Mr learned counsel.

Mambo ni mazito maana kamanda kila anachofanya hakifanikiwi

Kibatala na wenzake kila Pingamizi wanaloweka linagonga mwamba.

Hii ni dalili mbaya kwa Mwamba huenda maana huenda wakamnig'iniza.

Kwa sababu upo vizuri na ulidai hii ni kesi ndogo basi njoo umuokoe mwamba.
 
Unataka aje auliwe? Lissu anafanya kazi nzuri nje ya kuisema hii serikali katili kwa wahisani
 
Atauliwa na Nani wakati mama anaupiga mwingi?
Mtesi wake si alishafariki?
 
Fimbo ya mbali haiuwi nyoka Mr learned counsel.

Mambo ni mazito maana kamanda kila anachofanya hakifanikiwi

Kibatala na wenzake kila Pingamizi wanaloweka linagonga mwamba.

Hii ni dalili mbaya kwa Mwamba huenda maana huenda wakamnig'iniza.

Kwa sababu upo vizuri na ulidai hii ni kesi ndogo basi njoo umuokoe mwamba.
Rudisheni mahari kwa mme wake, sio mnamwita mke wa mtu bila utaratibu.
 
Fimbo ya mbali haiuwi nyoka Mr learned counsel.

Mambo ni mazito maana kamanda kila anachofanya hakifanikiwi

Kibatala na wenzake kila Pingamizi wanaloweka linagonga mwamba.

Hii ni dalili mbaya kwa Mwamba huenda maana huenda wakamnig'iniza.

Kwa sababu upo vizuri na ulidai hii ni kesi ndogo basi njoo umuokoe mwamba.
Sasa kamanda mchovu unataka aje nae abambikiwe mengine,keanu hata Sasa zipo bambikizi zinamsubiri, licha ya like jaribiola maharamialililofeli la kutaka kukatisha Manisha yake.
 
Back
Top Bottom