CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
Huyu MTU akipewa mitano tena nilivyomsoma tabia atumaliza aisee.atakuwa na hasira Mara dufu,MAGUFULI nitampa kura yangu 2020
LISSU nitampa kura yangu 2025
Kwa Sasa tumuache JIWE atuvushe hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu MTU akipewa mitano tena nilivyomsoma tabia atumaliza aisee.atakuwa na hasira Mara dufu,MAGUFULI nitampa kura yangu 2020
LISSU nitampa kura yangu 2025
Kwa Sasa tumuache JIWE atuvushe hapa
Tangu lini mhalifu wa jinai, akapewa likizo hadi uchaguzi uishe?Subiri Uchaguzi uishe msaliti wa Nchi atakutana na mkono wa sheria
Jina lako naliweka katika kumbukumbu. Baada ya uchaguzi nitakutafuta uthibishe nilicho-quote.Ulipoweka Lissu , weka Magufuli. Amini nakwambia, Magufuli hashindi uchaguzi wa mwaka huu. Never
Hahahaaa!!Tuoneni hivo hivo,hayo yote tutawapatieni hesabu yenu,kesho kutwa.
Mzee mbona povu sana sisi ccm Magu alisema kabisa anataka msuguo wa Sugu yaan aliulilia hadharani mchana kweupeee sasa thibitisha hapa kuhusu marinda kuhusu Lisukusuguliwa kuna maaana nyingi dogo, kwan huezi kusuguliwa miguu? vp yule ambae tayar ameshakosa marinda na anataka kuchukua marinda za wengine
FACTKama ni msaliti mpelekeni mahakamani; polisi, jeshi, TISS, DPP, TAKUKURU, Serikali , Bunge, CDF, mahakama vyote vyenu. Mnakwama wapi?
Mzee mbona povu sana sisi ccm Magu alisema kabisa anataka msuguo wa Sugu yaan aliulilia hadharani mchana kweupeee sasa thibitisha hapa kuhusu marinda kuhusu Lisu