Uchaguzi 2020 Tundu Lissu; Nusu Mtu, Nusu Chuma

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu; Nusu Mtu, Nusu Chuma

MAGUFULI nitampa kura yangu 2020

LISSU nitampa kura yangu 2025
Kwa Sasa tumuache JIWE atuvushe hapa
Huyu MTU akipewa mitano tena nilivyomsoma tabia atumaliza aisee.atakuwa na hasira Mara dufu,
 
Subiri Uchaguzi uishe msaliti wa Nchi atakutana na mkono wa sheria
Tangu lini mhalifu wa jinai, akapewa likizo hadi uchaguzi uishe?

Ndipo hapo utakapojua kuwa Jeshi letu la Polisi linawabambikia kesi raia wasio na hatia!
 
Tuoneni hivo hivo,hayo yote tutawapatieni hesabu yenu,kesho kutwa.
Hahahaaa!!

Nachofurahia ni kwamba, unapokuwa mwanandondi, hupaswi kumwogopa mpinzani wako hata kama unajua humuwezi, lazima tu utajionyesha Kwa watu kama unammudu, kumbe ni Moto wa mabua,

Ni kama nyie Chadema, mnajitutumua kimaneno tu, lkn ukweli mnaujua
 
Ni aibu kusikia mpaka leo kila siku tunalilia Tanzania iwe kama "Marekani" sijui "Ulaya". Kwani hatuwezi kuwa na maendeleo bila kufananisha ya wazungu? Tuache utumwa wa akili Bana. Unaweza kusoma kokote, tatizo Ni quality ya elimu na walimu.

Mtashangaa wa California wataanza kusoma chini ya miti mwaka 2050 wanawaambia Ni "eco-friendly classroom atmosphere to be closer to nature and encourage mental well-being" huku mnahangaika kujenga maghorofa wakati watu Wana njaa.

Waafrika tukijifunza priorities bila kujaribu kufanya copy za wazungu tutafika mbali.
 
kusuguliwa kuna maaana nyingi dogo, kwan huezi kusuguliwa miguu? vp yule ambae tayar ameshakosa marinda na anataka kuchukua marinda za wengine
Mzee mbona povu sana sisi ccm Magu alisema kabisa anataka msuguo wa Sugu yaan aliulilia hadharani mchana kweupeee sasa thibitisha hapa kuhusu marinda kuhusu Lisu
 
Mzee mbona povu sana sisi ccm Magu alisema kabisa anataka msuguo wa Sugu yaan aliulilia hadharani mchana kweupeee sasa thibitisha hapa kuhusu marinda kuhusu Lisu


vp mmewakataa tena ama vp
 
20241218_051429.jpg
 
Back
Top Bottom