Mbona jana Lissu amesema n baada ya tukio la Dodoma?Nyumba ni issue ya 2010 π
Welcome to the politics, in africa politics is warThis is too childish now!
All this back and forth mudslinging to what end?
Umekurupuka πΌLisu aache uongo na uoptoshaji,
kiongozi wa upinzani,
anae weza kuinjoy privileges na immunities za umma zinazofanana na za naibu spika, ni kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani pekee,
hicho anachosema labda anaelezea experience ya ubeligiji anakoishi pamoja na mabwenyenye yanayomfadhili akahisi bado ni mnadhimu π
Tatizo ni Lisu domo bwabwaja, Mbowe hanaga pigo za kuropokaropoka.This is too childish now!
All this back and forth mudslinging to what end?
Makamu Mwenyekiti alikuwa Mzee Afi wa Sumbawanga πMbona jana Lissu amesema n baada ya tukio la Dodoma?
OK, kabla ya Lissu nan alikuwa makamu?
Kwahiyo Chadema siyo chama cha Wachaga tena? Ni cha Wamachame?Huyu sio mangi ni mmachame/mmeru
mropokaji kama Kibaraka hawezi na wala hastahili kupewa nyumba ya umma inayotunzwa na kilindwa na Kodi za wanainchi gentleman πUmekurupuka πΌ
Ni Arfi na siyo Afi.Makamu Mwenyekiti alikuwa Mzee Afi wa Sumbawanga π
Vyovyote vile shemasi πNi Arfi na siyo Afi.
Lissu mwongo nyumba ilikuwa ya KUB si mnadhimu.Tundu Lisu amesema ni kweli aliishi Nyumba aliyopaswa kuishi KUB lakini Kwa Sababu Mbowe alikuwa na Nyumba nyingine tulimwomba Katibu mkuu Dr Kashilila Nyumba hiyo ilaliwe na Kiongozi mwingine wa upinzani
Dr Kashilila akasema anayepaswa kukaa msaidizi wa KUB ambaye ni Mnadhimu wa Kambi ya upinzani bungeni
Ahsanteni Sana
Nawatakia Sabato Njema π
Hivi nyie wachagga mnasoma Uzi na kuelewa? πLissu mwongo nyumba ilikuwa ya KUB si mnadhimu.
Hivi kuna mchagga wa Kyela?.Hivi nyie wachagga mnasoma Uzi na kuelewa? π
Lisu zile risasi zimemfyatuwa akili jumla.Lissu mwongo nyumba ilikuwa ya KUB si mnadhimu.
Wachagga ni wakazi wa Vunjo(Kirua,Kilema,Marangu,Mamba na Mwika)na mbunge wao ni Dr KIMEI.Kwahiyo Chadema siyo chama cha Wachaga tena? Ni cha Wamachame?
Mchaga ni nani?
Soma secular ndio utajua Lissu ni mwongo na mnafiki wa kiwango cha kusikitisha.Hivi nyie wachagga mnasoma Uzi na kuelewa? π
Wachagga unaimanisha ambao sio wamachame au ?Hivi nyie wachagga mnasoma Uzi na kuelewa? π
Msaidieni Mangi mwenzenu mawe yamemzidiπ€£π€£π€£Mangi anapigwa tofaliππππ
Mbowe ameshastaafu serikalini na Zitto Kabwe amemkumbushaLisu zile risasi zimemfyatuwa akili jumla.
Hata kama tunahitaji reform lakini siyo kwa Lisu.
Mbowe amalize mitano tena watu wenye uwezo wajiandae sasa kumpokea kijiti Mbowe 2030.
Watanzania hatutaki kusikia hayo. Tunataka hoja zenye nguvu.Tundu Lisu amesema ni kweli aliishi Nyumba aliyopaswa kuishi KUB lakini Kwa Sababu Mbowe alikuwa na Nyumba nyingine tulimwomba Katibu mkuu Dr Kashilila Nyumba hiyo ilaliwe na Kiongozi mwingine wa upinzani
Dr Kashilila akasema anayepaswa kukaa msaidizi wa KUB ambaye ni Mnadhimu wa Kambi ya upinzani bungeni
Ahsanteni Sana
Nawatakia Sabato Njema π