Tundu Lissu: Nyumba niliyoishi nilipewa na Katibu wa Bunge Dkt. Kashilila nikiwa kama Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani na Wala siyo Mbowe!

Tundu Lissu: Nyumba niliyoishi nilipewa na Katibu wa Bunge Dkt. Kashilila nikiwa kama Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani na Wala siyo Mbowe!

Lisu aache uongo na uoptoshaji,

kiongozi wa upinzani,
anae weza kuinjoy privileges na immunities za umma zinazofanana na za naibu spika, ni kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani pekee,

hicho anachosema labda anaelezea experience ya ubeligiji anakoishi pamoja na mabwenyenye yanayomfadhili akahisi bado ni mnadhimu 🐒
Umekurupuka 🐼
 
Tundu Lisu amesema ni kweli aliishi Nyumba aliyopaswa kuishi KUB lakini Kwa Sababu Mbowe alikuwa na Nyumba nyingine tulimwomba Katibu mkuu Dr Kashilila Nyumba hiyo ilaliwe na Kiongozi mwingine wa upinzani

Dr Kashilila akasema anayepaswa kukaa msaidizi wa KUB ambaye ni Mnadhimu wa Kambi ya upinzani bungeni

Ahsanteni Sana

Nawatakia Sabato Njema 😄
Lissu mwongo nyumba ilikuwa ya KUB si mnadhimu.
 
Hivi nyie wachagga mnasoma Uzi na kuelewa? 😂
Soma secular ndio utajua Lissu ni mwongo na mnafiki wa kiwango cha kusikitisha.

Stahiki za KUB ni sawa na Naibu Spika wa Bunge la JMT.

Mnadhimu wa upinzani hana stahiki zozote ni sawa na mbunge wa kawaida.

Hili jambo mbona dogo sana kulielewa au umekunywa ulanzi asubuhi asubuhi!.

Lissu ni mjinga hana lolote zaidi ya kutaka kujipatia umaarufu kipindi hiki cha uchaguzi.

Lissu aliwahi kutuaminisha baada ya kifo cha Magufuli zilikutwa fedha nyingi nyumbani kwake. Ebu niambie na hili nalo uliliamini ?.
 
Lisu zile risasi zimemfyatuwa akili jumla.

Hata kama tunahitaji reform lakini siyo kwa Lisu.

Mbowe amalize mitano tena watu wenye uwezo wajiandae sasa kumpokea kijiti Mbowe 2030.
Mbowe ameshastaafu serikalini na Zitto Kabwe amemkumbusha

" MBWA akikaribia Kufa hupoteza uwezo wa Kunusa na NYOKA akikaribia Kufa hukimbilia barabarani"
 
Tundu Lisu amesema ni kweli aliishi Nyumba aliyopaswa kuishi KUB lakini Kwa Sababu Mbowe alikuwa na Nyumba nyingine tulimwomba Katibu mkuu Dr Kashilila Nyumba hiyo ilaliwe na Kiongozi mwingine wa upinzani

Dr Kashilila akasema anayepaswa kukaa msaidizi wa KUB ambaye ni Mnadhimu wa Kambi ya upinzani bungeni

Ahsanteni Sana

Nawatakia Sabato Njema 😄
Watanzania hatutaki kusikia hayo. Tunataka hoja zenye nguvu.
 
Huyu jamaa hana ubavu wa kushindana na Mbiwe kisiasa au hata kwa weredi, ukurupukaji wake juu ya mambo ni weakness yake kubwa.
Kwa siku chache tu tumeona sura halisi ya huyu jamaa, mtu kwa shutuma, mtu wa purukushani asiye na fadhila hata kidogo.
Hafai kuongoza CDM kabisa.

Wajumbe tuondoleeni hii kitu.
 
Back
Top Bottom