johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #41
AtaongozaHuyu jamaa hana ubavu wa kushindana na Mbiwe kisiasa au hata kwa weredi, ukurupukaji wake juu ya mambo ni weakness yake kubwa.
Kwa siku chache tu tumeona sura halisi ya huyu jamaa, mtu kwa shutuma, mtu wa purukushani asiye na fadhila hata kidogo.
Hafai kuongoza CDM kabisa.
Wajumbe tuondoleeni hii kitu.
Leo mna mkata????🤣Huyu sio mangi ni mmachame/mmeru
Tupe matokeo ya Bawacha, hizo ndio salamu za tarehe 21.Mbowe ameshastaafu serikalini na Zitto Kabwe amemkumbusha
" MBWA akikaribia Kufa hupoteza uwezo wa Kunusa na NYOKA akikaribia Kufa hukimbilia barabarani"
Nila rushwa Mbowe hatoboi, hivi hamuoni?Huyu jamaa hana ubavu wa kushindana na Mbiwe kisiasa au hata kwa weredi, ukurupukaji wake juu ya mambo ni weakness yake kubwa.
Kwa siku chache tu tumeona sura halisi ya huyu jamaa, mtu kwa shutuma, mtu wa purukushani asiye na fadhila hata kidogo.
Hafai kuongoza CDM kabisa.
Wajumbe tuondoleeni hii kitu.
Bangi inakudhuru.Wachagga ni wakazi wa Vunjo(Kirua,Kilema,Marangu,Mamba na Mwika)na mbunge wao ni Dr KIMEI.
Unafahamu fika Lissu hajui kuongea uongo.Lisu aache uongo na uoptoshaji,
kiongozi wa upinzani,
anae weza kuinjoy privileges na immunities za umma zinazofanana na za naibu spika, ni kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani pekee,
hicho anachosema labda anaelezea experience ya ubeligiji anakoishi pamoja na mabwenyenye yanayomfadhili akahisi bado ni mnadhimu 🐒
Ndg. Matola sikuwahi kujua kuwa wewe ni mchaga.Bangi inakudhuru.
Hukuwahi kujuwa mimi ni Baba yako, muulize mama yako.Ndg. Matola sikuwahi kujua kuwa wewe ni mchaga.
Mmeposha kwa siku nyingi sana ,Wamachame sio Wachagga.Leo mna mkata????🤣
Pole sana huo ndio ukweli na nadhani kama umetokea mkoani Kilimanjaro ndio utakuwa umejua leo kuwa wewe sio mchagga kama sio mzaliwa wa asili ya Vunjo .Bangi inakudhuru.
Acha uoptoshaji gentleman,Unafahamu fika Lissu hajui kuongea uongo.
Yale mazuri aliyotendewa na Mbowe huwa anakiri na kumshukuru.
Sasa sielewi mnachobisha.
Pamoja na hivyo je ukipewa nyimba ndio umpishe Mbowe aendekee kuua chama?
Wajumbe ni watu makini huwezi mpa chama mtu wa sapuli huyo.Nila rushwa Mbowe hatoboi, hivi hamuoni?
Huyu sio mchagga atakuwa nje ya hili kundi ,Kilema ,Kirua ,Marangu,Mamba na Mwika .Kama hana hiyo asilili jua fika kuwa huyu Dr Matola sio Mchagga ni either,Mmachambe,Mrombo au Mkibosho.Ndg. Matola sikuwahi kujua kuwa wewe ni mchaga.
Jamaa anamtetea sana Mugabe Mbowe🤣Huyu sio mchagga atakuwa nje ya hili kundi ,Kilema ,Kirua ,Marangu,Mamba na Mwika .Kama hana hiyo asilili jua fika kuwa huyu Dr Matola sio Mchagga ni either,Mmachambe,Mrombo au Mkibosho.
Wewe ni mangi, ndiyo maana mlevi kupindukiaHivi kuna mchagga wa Kyela?.
Lissu analalamikia wizi, ubadhirifu na usaliti mwacheni atimize majukumu yake, mmeiba imetisha.Wajumbe ni watu makini huwezi mpa chama mtu wa sapuli huyo.
Mtu wa shtuma, vita, kulalamika, kukurupuka asiye na fadhila na heshima kwa viongozi wenzake.
KUongoza chama cha watu za zaidi ya 10m si mchezo, Mbowe apewe maua yake.
Mmachame siyo mchaga?Huyu sio mchagga atakuwa nje ya hili kundi ,Kilema ,Kirua ,Marangu,Mamba na Mwika .Kama hana hiyo asilili jua fika kuwa huyu Dr Matola sio Mchagga ni either,Mmachambe,Mrombo au Mkibosho.
We phalla unahangaika na ya chadema inakuhusu nini?Acha uoptoshaji gentleman,
Kibaraka si alisema kamwe hawezi kugombea uenyekiti wa Taifa chadema gentleman? sasa hivi anafanya nin?
ule ulikua ni uongo, usaliti au unafiki kwa uma wa huyo unaemuita mkweli?
si huyu alisema hayati Lowasa ni fisadi na huyo huyo pia akasema hayati Lowasa sio fisadi ila ni msafi mweupe kama pamba?
ile ilikua ni drama, maigizo au hekaya za uropokaji wa hiyo unae muita mkweli?
usipotoshe wadau tafadhali gentleman 🐒