Tundu Lissu: Nyumba niliyoishi nilipewa na Katibu wa Bunge Dkt. Kashilila nikiwa kama Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani na Wala siyo Mbowe!

Huyu jamaa hana ubavu wa kushindana na Mbiwe kisiasa au hata kwa weredi, ukurupukaji wake juu ya mambo ni weakness yake kubwa.
Kwa siku chache tu tumeona sura halisi ya huyu jamaa, mtu kwa shutuma, mtu wa purukushani asiye na fadhila hata kidogo.
Hafai kuongoza CDM kabisa.

Wajumbe tuondoleeni hii kitu.
Ataongoza

Chadema ni Chama Cha umma🐼
 
Huyu jamaa hana ubavu wa kushindana na Mbiwe kisiasa au hata kwa weredi, ukurupukaji wake juu ya mambo ni weakness yake kubwa.
Kwa siku chache tu tumeona sura halisi ya huyu jamaa, mtu kwa shutuma, mtu wa purukushani asiye na fadhila hata kidogo.
Hafai kuongoza CDM kabisa.

Wajumbe tuondoleeni hii kitu.
Nila rushwa Mbowe hatoboi, hivi hamuoni?
 
Lisu aache uongo na uoptoshaji,

kiongozi wa upinzani,
anae weza kuinjoy privileges na immunities za umma zinazofanana na za naibu spika, ni kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani pekee,

hicho anachosema labda anaelezea experience ya ubeligiji anakoishi pamoja na mabwenyenye yanayomfadhili akahisi bado ni mnadhimu 🐒
Unafahamu fika Lissu hajui kuongea uongo.
Yale mazuri aliyotendewa na Mbowe huwa anakiri na kumshukuru.
Sasa sielewi mnachobisha.
Pamoja na hivyo je ukipewa nyimba ndio umpishe Mbowe aendekee kuua chama?
 
Acha uoptoshaji gentleman,
Kibaraka si alisema kamwe hawezi kugombea uenyekiti wa Taifa chadema gentleman? sasa hivi anafanya nin?

ule ulikua ni uongo, usaliti au unafiki kwa uma wa huyo unaemuita mkweli?

si huyu alisema hayati Lowasa ni fisadi na huyo huyo pia akasema hayati Lowasa sio fisadi ila ni msafi mweupe kama pamba?

ile ilikua ni drama, maigizo au hekaya za uropokaji wa hiyo unae muita mkweli?

usipotoshe wadau tafadhali gentleman 🐒
 
Kumbe kuna KUPEANA nyumba wakati huku tunaishia kugombana na wenye nyumba kodi zinatushinda
 
Nila rushwa Mbowe hatoboi, hivi hamuoni?
Wajumbe ni watu makini huwezi mpa chama mtu wa sapuli huyo.

Mtu wa shtuma, vita, kulalamika, kukurupuka asiye na fadhila na heshima kwa viongozi wenzake.

KUongoza chama cha watu za zaidi ya 10m si mchezo, Mbowe apewe maua yake.
 
Ndg. Matola sikuwahi kujua kuwa wewe ni mchaga.
Huyu sio mchagga atakuwa nje ya hili kundi ,Kilema ,Kirua ,Marangu,Mamba na Mwika .Kama hana hiyo asilili jua fika kuwa huyu Dr Matola sio Mchagga ni either,Mmachambe,Mrombo au Mkibosho.
 
Jamaa anamtetea sana Mugabe Mbowe🤣
 
Wajumbe ni watu makini huwezi mpa chama mtu wa sapuli huyo.

Mtu wa shtuma, vita, kulalamika, kukurupuka asiye na fadhila na heshima kwa viongozi wenzake.

KUongoza chama cha watu za zaidi ya 10m si mchezo, Mbowe apewe maua yake.
Lissu analalamikia wizi, ubadhirifu na usaliti mwacheni atimize majukumu yake, mmeiba imetisha.
Lema amethibitusha pasi na shaka kuwa Mbowe ni languzi la kisiasa tulieni🤣
 
Huyu sio mchagga atakuwa nje ya hili kundi ,Kilema ,Kirua ,Marangu,Mamba na Mwika .Kama hana hiyo asilili jua fika kuwa huyu Dr Matola sio Mchagga ni either,Mmachambe,Mrombo au Mkibosho.
Mmachame siyo mchaga?
 
Acha uoptoshaji gentleman,
Kibaraka si alisema kamwe hawezi kugombea uenyekiti wa Taifa chadema gentleman? sasa hivi anafanya nin?

ule ulikua ni uongo, usaliti au unafiki kwa uma wa huyo unaemuita mkweli?

si huyu alisema hayati Lowasa ni fisadi na huyo huyo pia akasema hayati Lowasa sio fisadi ila ni msafi mweupe kama pamba?

ile ilikua ni drama, maigizo au hekaya za uropokaji wa hiyo unae muita mkweli?

usipotoshe wadau tafadhali gentleman 🐒
We phalla unahangaika na ya chadema inakuhusu nini?
Mkabebwe na malori Dodoma🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom