johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #61
CCM hainaga muda na mambo madogo madogo tena BwasheeTupe matokeo ya Bawacha, hizo ndio salamu za tarehe 21.
Mimi simtetei yeyote, nanyoosha rula.Jamaa anamtetea sana Mugabe Mbowe🤣
Kwahiyo alipewa nyumba yenye vinasaba na ccmTundu Lisu amesema ni kweli aliishi Nyumba aliyopaswa kuishi KUB lakini Kwa Sababu Mbowe alikuwa na Nyumba nyingine tulimwomba Katibu mkuu Dr Kashilila Nyumba hiyo ilaliwe na Kiongozi mwingine wa upinzani
Dr Kashilila akasema anayepaswa kukaa msaidizi wa KUB ambaye ni Mnadhimu wa Kambi ya upinzani bungeni
Ahsanteni Sana
Nawatakia Sabato Njema 😄
Akimaliza mitano atasema ameombwa na wazee aendelee.Lisu zile risasi zimemfyatuwa akili jumla.
Hata kama tunahitaji reform lakini siyo kwa Lisu.
Mbowe amalize mitano tena watu wenye uwezo wajiandae sasa kumpokea kijiti Mbowe 2030.
Hawa chakademus watavuana nguo physicallyCCM hainaga muda na mambo madogo madogo tena Bwashee
Leo tunajadili Utekelezaji wa Ilani na namna ya kupata Wabunge wa Pemba Kwa 100%
Upinzani umetucheleweshea Maendeleo sana 🐼😂
Lisu ni kama Mtume Paul zamani SauliMimi simtetei yeyote, nanyoosha rula.
Lisu ni kiongozi mwandamizi Chadema, mazuri na mabaya yote yeye ni sehemu ya hayo.
Lisu atateka akili za watu wajinga kama wewe.
Atamwachia James au Nicole 😂Akimaliza mitano atasema ameombwa na wazee aendelee.
kikwenu kwa mfano hili ni Lori, right?We phalla unahangaika na ya chadema inakuhusu nini?
Mkabebwe na malori Dodoma🤣🤣🤣
Kumbe Mangi alidanganya!!Tundu Lisu amesema ni kweli aliishi Nyumba aliyopaswa kuishi KUB lakini Kwa Sababu Mbowe alikuwa na Nyumba nyingine tulimwomba Katibu mkuu Dr Kashilila Nyumba hiyo ilaliwe na Kiongozi mwingine wa upinzani
Dr Kashilila akasema anayepaswa kukaa msaidizi wa KUB ambaye ni Mnadhimu wa Kambi ya upinzani bungeni
Ahsanteni Sana
Nawatakia Sabato Njema 😄
Wengi wenu hampati muda wa kusikiliza Lissu kisha mkatoa maoni objectively, mnaishia kubwa negative tu.Huo ni utoto.
Atakuwa ni Mmachame Mwenzake aiseeJamaa anamtetea sana Mugabe Mbowe🤣
In short, TAML ni mpumbavu wa kiwango cha lami! Kwa nini anatafuta umwenyekiti wa chama kwa kumchafua mwenzie? Sikujua kama Lissu hana busara kiasi hicho!Tundu Lissu amesema ni kweli aliishi Nyumba aliyopaswa kuishi KUB lakini kwa sababu Mbowe alikuwa na Nyumba nyingine tulimwomba Katibu mkuu Dkt. Kashilila Nyumba hiyo ilaliwe na Kiongozi mwingine wa upinzani
Mbowe kusema alimpa Lissu nyumba, soma Mbowe: Nyumba ya Dodoma nilipewa na Serikali, nikampa Lissu
Dr Kashilila akasema anayepaswa kukaa msaidizi wa KUB ambaye ni Mnadhimu wa Kambi ya upinzani bungeni
Ahsanteni Sana
Nawatakia Sabato Njema 😄
Pia soma
Mangi ni fala sanaMsaidieni Mangi mwenzenu mawe yamemzidi🤣🤣🤣
Hakuwa na mamlaka hayo. Ni kwamba Lissu amepania kupinga kila wema ambao Mbowe kamfanyiaKashilila ana mamlaka ya kugawa nyumba out of statutory allocation
Wapi alipomchafua?In short, TAML ni mpumbavu wa kiwango cha lami! Kwa nini anatafuta umwenyekiti wa chama kwa kumchafua mwenzie? Sikujua kama Lissu hana busara kiasi hicho!
Hivi nyie wachagga mna Akili kweli?Hakuwa na mamlaka hayo. Ni kwamba Lissu amepania kupinga kila wema ambao Mbowe kamfanyia
Ona mfano unaotoa wewe andazi la CCM? Yaani nyumba za bunge unazilinganisha na hostel za chuo? Dada tumia akili yako vizuri!Wapi alipomchafua?
Mbowe hana uwezo wa kumkabidhi MTU Nyumba ya Serikali
Umewahi kuishi hostel ukiwa chuo au ulikimbia umande? 🐼
Asa mbona lissu kakiri nyumba ilitakiwa Aishi KUB ila alikua na nyumba yake binafsi.Mbowe bhana ana drama za kifala sana kumuachia nyumba Dodoma anatangaza balaa tena ya kupanga sio kumiliki watoto wa mama wana tabu sana..